Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Yes ur very right but it was in 1953. Hata King David was crowned at 30.

That was then. Huwezi fananisha na nyakati hizi.

Nyakati ndio zinatawala mambo.
Wenzio wanajua siri nzito sana wanaamua kuriot.Wewe endelea kukumbatia uzombie muda ukifika utajicheka
 
Prince mwenyewe hataki kusikia masheria uchwara ya uislam ndio maana unaona kazuia wanafunzi watu wasivae hijab . anataka Saudi iwe sehemu ya kila mtu kuishi.. wewe raia wa chitoli na makete unajikuta unaijua dini zaidi yake😁
 
Huyo dogo babake kazeeka kampa crown anajiona kashatoboa wapo wenzake kama watatu hivi wanamlia timing tu utasikia muda si mrefu.
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
tafytaapesaaandugu....utakufanapressure
 
west life on their prime walishawahi kurudishwa kwenye ndege wakaambiwa wageuze walishuka na chupa za kvant apo Saud saiv unyama tu unaweza kudrop ata na strippers na ukaambiwa tu takbriiiii awakibaru
 
Bora wabadilike aisee, sisi tunaoenda Saudia tunateseka sana hata sehemu ya kupiga kilaji ni shida. Hii habari ni nzuri sana kwangu mimi na mwanangu Soud N.

😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom