Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

Yaan mgeni akipata mapato mkae nae chini eti afikirie cha kuwapa kwa term zake na sio zemu nyie ila haya atakuja kichaa amekunywa maji ya bendera mtanyongwa wote na mama enu
Ni mkataba hivyo mnakuwa mkijua cha kwenu ni kipi. Cha muhimu ni kupunguza lawama zinazoletwa na utendaji mbovu na mambo mengi ya kizamani pale bandarini.
 
Back
Top Bottom