Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

Ebu tuliza akili kidogo, na ufikirie nje ya box , kuna Nchi zimefuata hizo protocols za covid na bado watu wame puputika na wanaendelea kukupuputika, hivyo unacho ongelea hapa bongo ni uzushi au matamanio yako
 
Sio unajipostia tu. ukiulizwa kivipi si salama utajibu nini. ukiulizwa eleza usalama wa machanjo mengine yoote ya wazungu utajibu nini.
Wewe ukiulizwa ni kivipi unausalama hiyo Chanjo utathibitisha? Zaidi utasema umewaona wathungu wakichanjwa kijanjajanja kuwahadaa watu
 
Ebu tuliza akili kidogo, na ufikirie nje ya box , kuna Nchi zimefuata hizo protocols za covid na bado watu wame puputika na wanaendelea kukupuputika, hivyo unacho ongelea hapa bongo ni uzushi au matamanio yako
Kwani hapa hawapukutiki? Ni ujinga wa hali ya juu kuficha takwimu halafu unasema huna tatizo.

Tulistahili kupima, kupata takwimu za wanaofariki, halafu ndiyo tunakuwa kwenye nafasi ya kusema kama tuna unafuu au la!

Hata huko wanakotoa takwimu za vifo uliwahi kuona miili barabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muna kilema cha kusifia ujinga
 
kwani hapa , kuna miili barabarani, au ni akili ya "kisaccos"
 
Ile iliyofuatwa na ndege kwa DJ, majibu yake yalitoka?
 
Mlisema korona hakuna mkaibatiza jina jipya la newmonia.

Nenda MNH...nenda KCMC.... MAWENZI...ukawape pole wenye newmonia.
Kachanjwe wewe hiyo bandia ya china
 
Pumba tupu
 
China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa zilizo chini ya ubora. Bidhaa za China tunazinunua kwa sababu ya unafuu na kukosa mbadala, lakini bidhaa zake karibu zote ni uchafu kama uchafu mwingine.
Mchadomo upo?
 

Shilingi elf 90 ya Tz buti ya China vs 75$ buti ya Santiago......

Sawa.
 
#HachanjwiMtuHapa!
Utapimwa tu (God forbid isiwe kile kipimo cha wachina) na Utachanjwa tuu. Huna pa kukimbilia.

Labda wewe sio msafiri na kama unasafiri, basi ni kutumia Yutong za akina Shabiby. Kama safari zako ni za kuvuka mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, utachanjwa tu😊
 
Mama ake mpaka sasa anazaid ya mwaka anapumulia mashine..... kamuulize izo mashine sio za wazungu, na anapewa dawa za asili ama za wazungu...

Bila hao wazungu uyo mama ake angeshaga zika....

la kuambiwa changanya na la kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…