Zimboland Mogul
Member
- Jul 18, 2017
- 24
- 24
I'm a medical practitioner, I don't raise things out of thin air. Nikiongeacho nakijua.Sasa hao un documented kwenye familia yako ni wangapi au majirani zako au wewe ukisikia Leo hii kwamba fulani kafa wewe kwako ni covid
Watakao angalia video clip hii kuna kitu wayajifunza na hawatarudia tena kuleta ubishi bishi husio na mantiki.Moja ya clips zinazotia mashaka ya chanjo
Sasa wewe na umedical practice wako unaona solution ya covid ni hiyo chanjo ? so thrombosis inaweza kukabiliwa na chanjo ?? Na sio vitamin C , Zinc , n.kI'm a medical practitioner, I don't raise things out of thin air. Nikiongeacho nakijua.
Wewe endelea kushupaza shingo.
Sasa wewe na umedical practice wako unaona solution ya covid ni hiyo chanjo ? so thrombosis inaweza kukabiliwa na chanjo ?? Na sio vitamin C , Zinc , n.k
Na zaidi ya hapo unaelewa nini ukiambiwa underliming condition ,
Sasa wewe na umedical practice wako unaona solution ya covid ni hiyo chanjo ? so thrombosis inaweza kukabiliwa na chanjo ?? Na sio vitamin C , Zinc , n.k
Na zaidi ya hapo unaelewa nini ukiambiwa underliming condition ,
Jiwe kwa Mataga ni mshindi wa kila kitu, Jiwe kakata chanjo yeye anazungumzia chanjo feki..... Mataga bhanaSasa hii sijui inamfanyaje Jiwe kuwa mshindi......
Waweza kuta unaamini jiwe anamzidi baba yako maarifa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili sakata la corona kwa ujumla magufuli kacheza kama pele, ndo uzuri wa kua na president aliesoma science vizuri, ingekua tuna president kasoma HGE tungeficha wap sura zetu
Mpaka nimekuonea huruma.kwani hapa , kuna miili barabarani, au ni akili ya "kisaccos"
Ndio. Jiwe anaiagiza wizara ya afya isipokee chanjo bila kujiridhisha kama ni sahihi. Na waziri juzi kasisitiza hawataingiza wala kupokea chanjo mpaka watakapojiridhisha chanjo hiyo ni salama. Maana yakemhawataki kupokea chanjo fake. "Hivyo ameionya Wizara ya Afya kutokimbilia kuhalalisha kila chanjo inayotangazwa itumike na Watanzania kabla ya kujiridhisha"Jiwe kwa Mataga ni mshindi wa kila kitu, Jiwe kakata chanjo yeye anazungumzia chanjo feki..... Mataga bhana
Sijasema ni major bali ni end result , na hiyo ya blood clot imekuwa ina wasumbua sana, na inayo saidia ni junior aspirin n.kWewe ni kajinga, nani kakuambia thrombosis ndio major complication ya Corona?
Alafu nani alikufundisha thrombosis, thrombosis inatibiwa kwa vitamin C?
Halafu "underliming" conditions nini? Ulitaka kuandika "underlying"?
Tuishie hapo husinipotezee muda.
Kwakweli kuna mkanganyiko sana kwenye serikali ya jiwe,Ndio. Jiwe anaiagiza wizara ya afya isipokee chanjo bila kujiridhisha kama ni sahihi. Na waziri juzi kasisitiza hawataingiza wala kupokea chanjo mpaka watakapojiridhisha chanjo hiyo ni salama. Maana yakemhawataki kupokea chanjo fake. "Hivyo ameionya Wizara ya Afya kutokimbilia kuhalalisha kila chanjo inayotangazwa itumike na Watanzania kabla ya kujiridhisha"
Na taarifa ya Wizara inasema "Wizara ya Afya inayo taratibu za kufuata pale inapotaka kupokea bidhaa yoyote ya afya baada ya Serikali kujiridhisha hivyo kwa nia njema kabisa ni hadi tujiridhishe na si vinginevyo,”
Rais Magufuli aonya Wizara ya Afya kuhusu chanjo zinazotolewa nje ya Tanzania
Rais Magufuli ataka Watanzania kujilinda huku wakimuomba Mungu kuwaepusha na ugonjwa wa corona kwakuwa chanjo hazifai.www.mwananchi.co.tz
Mkuu, Serikali ya China hipo taugh sana kwenye suala hili, haiwezi hata siku moja kuruhusu kuji haribia sifa kwa ujinga kama huu hasa linapo kuja suala la kitabibu - madai ya media za magharibi ni uzushi mtupu - wanajua chanjo za China zimefanyiwa tafiti za muda mrefu na ziko effective by 98% ukweli huo ndio unawafanya washindani wao wawaxulie stori za kutunga tu, na kwa kuwa Ti Xing Ping alisema atatoa chanjo hizo bure kwa mataifa maskini ndio maana Big Pharma Companies zimejikita katika kampein chafu zenye lengo za kutia ofu mataifa ambayo yanataka kutumia chanjo zinazo zalishwa China.
Mkanganyiko tunauleta sisi wapiga filimbi. Tusiojua kama kuna mamlaka kama TDA ambayo kazi yak ni kukagua na kuidhinisha dawa za binadamu. Taasisi inayotakiwa kufuatilia hata kutembelea kiwanda kinachotengeneza dawa yoyote MPYA inayotaka kuingizwa nchini. Kwa sababu za kisiasa hatutaki mamlaka kama hizi, zilizowekwa kishria, zifanye kazi yake.Kwakweli kuna mkanganyiko sana kwenye serikali ya jiwe,
Mkuu, Serikali ya China hipo taugh sana kwenye suala hili, haiwezi hata siku moja kuruhusu kuji haribia sifa kwa ujinga kama huu hasa linapo kuja suala la kitabibu - madai ya media za magharibi ni uzushi mtupu - wanajua chanjo za China zimefanyiwa tafiti za muda mrefu na ziko effective by 98% ukweli huo ndio unawafanya washindani wao wawaxulie stori za kutunga tu, na kwa kuwa Ti Xing Ping alisema atatoa chanjo hizo bure kwa mataifa maskini ndio maana Big Pharma Companies zimejikita katika kampein chafu zenye lengo za kutia ofu mataifa ambayo yanataka kutumia chanjo zinazo zalishwa China.
Mwenyekiti wao kawaagizia chanjo mpya ya china,hii ya mpyaHizi za China si ndiyo zinashabikiwa hapa nyumbani ?. Wa China na vitu fake ni chanda na pete
Odhis *
Rais aliyeseoma sayansi vizuri lakini haamini katika sayansi na anaongozwa na ndumbahili sakata la corona kwa ujumla magufuli kacheza kama pele, ndo uzuri wa kua na president aliesoma science vizuri, ingekua tuna president kasoma HGE tungeficha wap sura zetu
Rais aliyeseoma sayansi vizuri lakini haamini katika sayansi na anaongozwa na ndumba
Waweza kuta unaamini jiwe anamzidi baba yako maarifa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]