Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

Nimekusoma Kwa jicho LA tatu!
 
Mkuu Magufuli shujaa sana na mbinu zake anazocopy na kupaste toka kwa mzee Kinjekitire Ngware wa Vita vya maji maji,sasa tunawagongwa 150 na vifo 4 hongera yake sana,Tuendelee kuchapa kazi ili walioweka Lock down wakitoka kucoronwa tuwapige hela
 
Kimbe eeeee! CORONA amesikia maombi yako. Acha tusubiri tuone
 
Mkuu Bams umesema maneno mazito sana hapa!. Italy walifanya upumbavu Waziri Mkuu wao akalia machozi!, vipi sisi?.
P
 
Pascal Mayalla,
Hakika mtu asie fahamu uandishi wako atapata shida sana kung’amua maana nzima ya bandiko lako..!
Mkuu Chilonge, it's very true, kwa vile mimi ni mwandishi wa habari na muelimishaji umma, sisi waandishi wskongwe tuko kama madaktari, tunatoa prescriptions za dose tofauti tofauti kwa wagonjwa tofauti tofauti, hivyo na mimi mabandiko yangu ni kwa watu wa level tofauti tofauti, wale wadogo, na ma simple minds wana dose zao, wale wa kawaida, ordinary minds nao wana dose zao, na wale ma gt nao wana dose zao, ukiona nimebandika hoja ya ma gt, vile vi simple minds vinatukana, huwa navitupia tuu thanks na kuachana navyo.
P
 
Ha ha ha kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hataivyo bd nishujaa yeye hajafungia shughuli za kusali km nchi na mataifa mengine yalivyo fanya #JPM somchezo yule ni injinia makin sana ko hivyo watu wanaosoma sayansi wanapo kuwa viongozi huwa nima critical thinker kweli kwasababu wameshakutana na problem nying zamasomo yao hivyo kuongoza nch wanajitahid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi mmoja tu uliopita Italy walisema hivi unavyosema. Weka akiba ya maneno kaka, mlipuko ukitokea humu tusije tukageukana. Tungojee kidogo muda utoe majibu ndipo tuseme kama jamaa ni shujaa ama vipi.
Duh...!. Kuna watu humu wana midomo...!
P
 
Duh...!.
P
 
jana watu wamepigwa viboko bar, mbinu alizo kataa kaanza kuzitumia
 
Boya fulani tu, uliandika nini sasa, na saivi kinaendelea nini sasa. Mwandishi makini anayekusudia kuelimisha hujitaidi kutumia lugha inayoeleweka na ikilazima atatolea maelezo baadhi ya maneno anayodhani kuwa ni msamiati katika andiko lake, Ila wewe unatuchezea akili tu, huna cha u GT wala nini[emoji19]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukute wewe mkuu Bams hata ujumbe wa serikali ya mtaa hujapewa!!
Tanzania,wenye akili,uwezo,maarifa,busara,werevu,hekima na hofu ya kweli kwa Mungu Mwenyezi,hawathaminiwi zaidi ya wabwabwajaji na maneno mengi.
Ubarikiwe mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
una nchi ina madeni kila raia anadaiwa. una kirusi ambacho kukidhibiti lazima usimamishe shughuli za kiuchumi. utafanya je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…