Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

Shujaa tangu anakimbilia maporini ?
 
Mkuu Mkaliman, nakuunga mkono, mimi ni boya fulani na humu jf kuna ma GT na tuna maboya kibao.
Ili kujipima kama wewe ni GT au ni boya, kasome bandiko hili,

Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa - JamiiForums

Jipime umeelewa nini?.
Mtu akiwa boya, ukimuita boya au kilaza, anakasirika, kuwa ametukanwa!. Mimi sio GT, ni boya tuu, ila kuna baadhi ya hoja zangu, wenye uwezo wa kunielewa ni ma GT only na sio maboya!.
Jipime, ukielewa karibu, kama ni boya, povu rukhsa!.
P
 
Duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amekudanganya kuwa Kansela Merkel alipata corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una nchi ina madeni kila raia anadaiwa. una kirusi ambacho kukidhibiti lazima usimamishe shughuli za kiuchumi. utafanya je?

Mkuu haihitaji cheti cha elimu ya msingi kuona kuwa simamisha uchumi uokoe maisha kwanza.

Madeni baadaye. Mbona hakuna swali zito hapo?
 
Taratibu shujaa anazamisha jahazi, huku abiria wapumbavu wakichekerekea.
Mwamba uko Chato, unakunywa kahawa kijiweni na kuhutubia kupitia Twitter.
 
Kama umepitia andiko lako utagundua kuwa nime like, ila hoja yangu ieleweke, kama unataka maudhui yako yafikie watu wengi, hakikisha katika 10 angalau 7 watakuja na uelewa unaofanana wa hoja yako, vinginevyo hakuna hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu bandiko lako ni la kupotosha.

Fuatilia update ukweli. Nchi nyingi tokea katika partial na total lockdown tayari curve ya maambukizi imeshakwenda mwisho na sasa inakwenda flat.

Kwa maelezo rahisi ni kuwa kasi ya maambukizi ni ndogo kuliko kasi ya watu wanaopona. Kwa maana kamili ni kuwa wagonjwa yanapungua na ugonjwa umeshadhibitiwa.

Hali hiyo mkuu ni stage ya juu mno sisi kujilinganisha na hao bila kujali kwao wana wagonjwa wangapi hata wana matukio mangapi ya vifo.

Ugonjwa ukifikishwa hapo ufumbuzi tayari.

Mataifa yaliyopo hapo hadi hivi sasa ni:

USA, Germany, Spain, Italy, china wengine wanaokuja ni Rwanda, Uganda na hata Kenya.

Mkuu kwetu ni hapa:

Tanzania is Slowly Sinking, Kenya should Come to its Rescue


Tumejifikisha wenyewe hapo. Hatuna wa kumlaumu. Muhimu tusiendelee kupoteza muda. Njia ya kupita kufika waliofikia wenzetu inajulikana.
 
Mkuu Mkaliman, kwa Tanzania ya sasa, the operating environment is the law of the jungle, survival is only for the fittest, one to be fit in such operating environment, is the ability to adapt, adapting and adaptation to the current environment,
Waangalie wenzangu hawa
Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama... - JamiiForums

Mimi I'm a survivor because I'm very adaptive, siandiki kila kitu ili kiwafikie watu wengi, naandika kwa malengo, kuwalenga watu fulani kwa kutuma very strong coded messages kwa watu fulani fulani bila wengine kujua.

Ukitokea umelala na wife halafu ika happen kwa bahati mbaya ame over excited aka over drink na ku pee kitandani, hivyo ku bed wet, ili chumba kisi smell na kulalika, lazima godoro lianikwe!. Lazima house girl na watoto waelezwe what happened, jee utaeleza ukweli?.

Utamuita house girl na watoto na kuwaambia kila siku mtoto akiisha amshwa kabla hajaja kulala kitandani kwa mummy wahakikishe ame pee kwanza ndipo aje, maana ame bed wet kitanda chetu!. Dada utasaidiana na mama kulianika godoro juani ili likauke.

This is a very strong message kwa whoever who has peed!.

Sasa soma tena hili bandiko in that light.
Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa - JamiiForums

Ujumbe ndani ya bandiko hilo ni kwa wachache tuu na sio kwa masses kama ujumbe wa pee ya mtoto kwa house girl na watoto umetolewa kwa wengi ila mlengwa ni mmoja tuu.
P
 
Vipi huko naona maambukizi yamepungua
 

Umesema kweli kbs hata China walisali tu sijui kanisa gani mpaka ugonjwa ukakimbia wenyewe. Waliwndelea kuchapa kazi. Mungu bariki hekima za viongozi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…