Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

Mama hawezi kuwa Girlfriend wako. Na kama bado unajitafuta achana na wanawake kwanza. Au tafuta wa hadhi yako. Wewe unataka msichana wa CLUB wakati hadhi yako ni yule wa KILABUNI. Anyway umenifurahisha sana ulivyorudisha huo muamala.
 
Upo sawa sana kwa ulichofanya ila hiyo caption ya mama yako awe girlfriend wako ifute sema tu hela za kuwapa malaya bora nimpe mama yangu.

HONGERA SANA. SIKU NYINGINE USIMKUBUKE MAMA BAADA YA MALAYA AANZE MAMA KWANZA.
 
Hivi we huna baba? We ni wale wa single mother, ni vigumu sana mtu km wewe kuishi na mtoto wa mtu(wa kike). We ni wale umekuwa ukilala mpaka miaka zaidi ya 10.
 
Bado hujasema sali sana walio kulea waishi milele na wanao wasiondokewe na mwenza siku zako zote hapa duniani
 
Mkulungwa umefanya jambo la kiume sana yani kama upo karibu na mangi mwambie akupe soda nitakuja kulipa, midemu ya leo ata umpe milioni kamwe hawezi kukushukuru ni mifala sana kongole sana kwako kwa ukamanda ulioufanya
 
 
Safi,hayo manyaku nyaku yasiyo na shukrani mnayatolea wapi?? Kwa usawa huu mtu anakupa 100k husemi Asante?? Jinga kabisa huyo
 
Santeee
Safi sana mkuu.

Next time uaiingie mkenge tena kumtumia shori pesa.
Mtumie mama utabarikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…