Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

Mkuu,umeongea kwa hasira sana,kunywa maji kwnza[emoji3][emoji3]
 
Mkuu,umeongea kwa hasira sana,kunywa maji kwnza[emoji3][emoji3]
Ntayanywa hata ya bomba aise. Bora huyu alifikilia akaona amefanya ujinga.
Haya majitu basi tu. Sema na wanaotoa wanakuwa hawajielewi. Kwani ana nini wengine hawana? Si bora ukanunue ya buku 5 huyo hata namba ya simu hakuombi!
Wakati anaomba anakuita honey,akishapokea,unaitwa mtoto wa mbwa,unasumbua,mara unakela, na linaongea hadhalani.
Alichokifanya bora aise. Hata wengine wangekuwa kama yeye
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu,tuheshimu tu kila mtu maana hatujui kesho yetu.
 
Ndoa za Ndugu hizi sijui kama zilikuwa na madhara zamani, zina utani wa Babu na Mjukuu/ bibi na mjukuu

Ujumbe huu unaona wewe tu, unasubiri kupitiwa na moderators ili uonekane kwa umma!
 
Utamu unao mwenyewe K catalyst tu.
 
Mara nyingi watu kama hao hawajawahi kujitengenezea pesa yao wenyewe hata laki kwa mwezi ya bila kuomba. Hawajui what it takes kutengeneza pesa ndio maana ana dharau za rejareja.

Anyways umemfundisha pengine akipata mtu mwingine atajifunza kitu.
 
Aisee
Aisee... Wanawake wengi sana inaonekana wamejeruhiwa na haya maisha kiasi cha kupoteza hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…