pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Weka BL number ni track nitakuambia shida nini achana na propagandaNina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Wanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa 🤣🤣🤣🤣Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Kwamba uwajibikaji hapo hauwezi kuimarishwa zaidi ya kubinafsisha?Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Tatizo kuna walaji kutoka nje, hao ndio wabishi hata ufanyeje hakutakuwa na ufanisi, kama ingekuwa ni sie wenyewe tu aahhh mbona fasta tu tunarekebisha tuKwamba uwajibikaji hapo hauwezi kuimarishwa zaidi ya kubinafsisha?
Hata mie sipingi, nasapoti lakini kwa hali ilivyo, wacha tu tujaribu wengine sie hatuweziWanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa 🤣🤣🤣🤣
Nimeshatrack hata mie, wanasema waiting,Weka BL number ni track nitakuambia shida nini achana na propaganda
Hiyo meli iliyoleta mzigo ndio hiyo hiyo itapakia mizigo mnayo exports baada ya kuwa empty,Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.
Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
Mtajuana wenyewe hiyo Bandari yenu.Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Unacheza na maneno, unafikiri container likifika unaenda kuchukua kama unavyotumiwa kifurushi cha mzigo Kimbinyiko?Nimeshatrack hata mie, wanasema waiting,
Mizigo inashushwa pole pole sana kwa kuwa hakuna ufanisi
Weka results tuoneNimeshatrack hata mie, wanasema waiting,
Mizigo inashushwa pole pole sana kwa kuwa hakuna ufanisi
Wanalazimisha bandari zetu ziuzwe kwa visingizio vya kuchelewasha mzigo ukimuliza mchakatoto wa kutoa mzigo ukoje wanakimbia,hata TIN ukimuliza ni nini mtakesha.Mkuu kama ni kweli unachosema agent wako anakudanganya labda kama uko kisiasa zaidi.
Mm niko CFA, sasa hivi hakuna meli inayokaa wiki bila kushusha tangu TICTS iondolewe
Taratibu aisee, yaani hata tin nisiwe nayo?Wanalazimisha bandari zetu ziuzwe kwa visingizio vya kuchelewasha mzigo ukimuliza mchakatoto wa kutoa mzigo ukoje wanakimbia,hata TIN ukimuliza nini mtakesha.
Unadhani agent adanganye kwanini?Mkuu kama ni kweli unachosema agent wako anakudanganya labda kama uko kisiasa zaidi.
Mm niko CFA, sasa hivi hakuna meli inayokaa wiki bila kushusha tangu TICTS iondolewe
Yaani bandari iuzwe kwa ajili ya kakontena chako cha vi nguo vya kichina?Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi