Kwa hili la mzigo huu, wacha tu bandari ibinafsishwe

Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.

Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
Point
 
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Watu hawapingi bandari kuendeshwa na kampuni ya nje kama hilo litaleta ufanisi.

Watu wanapinga mikataba mibovu.

Hivi ni vitu viwili tofauti.
 
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Kwanini haujashushwa? Sema CCM mmechagua watu duni sana kuwatetea mitandaoni
 
MAPUNDA YANAYOPINGA UWEKEZAJI HUU MENGI KWA ASILIMIA 95 YANAFUATA TU MKUMBO HAYAFAHAMU HADHA ZA BANDARI YETU NA URASIMU USIO NA MAANA YOYOTE.
Hakuna anaepinga mkataba watu wanapinga vipengere vya mkataba ambavyo vinampa mwekezaji exclusive right kuumiliki shughuli za ufukweni na kutovuja mkataba no matter what
 
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Hakuna wakupinga kubinafsisha bandari, Shida ni terms za mkataba.

Wapewe hata percentage kama moo alivopewa simba, atleast serikali iendelee kua na Veto power ya maamuzi. Ila sio hvo wanavotaka

But kiukweli kwa mkataba huu kutakua na nafuu kwa wafanya biashara na watumiaji wa bandari ila kimapato mnufaika mkuu ni DP World. Hii haina tofauti na South Africa nchi imeendelea sana ila wazawa ni hoe hae tyu uchumi unabebwa na wageni
 
Mkuu Mi anapinga DP sio kwajaili ya utendaji isipokuwa mkataba mbovu. Ukweli utendaji wa bandari sio effective kabisa unaitaji marekebisho makubwa.. Ila sio kuuza nchi kwa kigezo hiki bana, wafanya biashara msipo support huu mjadala Siku mambo huko yanagoma mtamani jamaa waondoke inashindikana maana mkataba wa milele... Pigana sasa kwa maslahi ya kudumu🙏
 
Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.

Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
Na mjenzi akikosa vifaa vya ujenzi Kazi itaendelea?
Kiwanda kikikosa Mashine au vipuri kitafanya kazi ?
 
Watu hawapingi bandari kuenxeshwa na kampuni ya nje kama hilo litaleta ufanisi.

Watu wanapinga mikataba mibovu.

Hivi ni vitu viwili tofauti.
Hakuna anaepinga mkataba watu wanapinga vipengere vya mkataba ambavyo vinampa mwekezaji exclusive right kuumiliki shughuli za ufukweni na kutovuja mkataba no matter what
Hakuna wakupinga kubinafsisha bandari, Shida ni terms za mkataba.

Wapewe hata percentage kama moo alivopewa simba, atleast serikali iendelee kua na Veto power ya maamuzi. Ila sio hvo wanavotaka

But kiukweli kwa mkataba huu kutakua na nafuu kwa wafanya biashara na watumiaji wa bandari ila kimapato mnufaika mkuu ni DP World. Hii haina tofauti na South Africa nchi imeendelea sana ila wazawa ni hoe hae tyu uchumi unabebwa na wageni
Mkuu Mi anapinga DP sio kwajaili ya utendaji isipokuwa mkataba mbovu. Ukweli utendaji wa bandari sio effective kabisa unaitaji marekebisho makubwa.. Ila sio kuuza nchi kwa kigezo hiki bana, wafanya biashara msipo support huu mjadala Siku mambo huko yanagoma mtamani jamaa waondoke inashindikana maana mkataba wa milele... Pigana sasa kwa maslahi ya kudumu🙏
Pm majaliwa ameshalisemea hili, penye ulazima patarekebishwa kwa manufaa ya tanzania
 
Wanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona aliwa na mwingine ujuwe umeshindwa kumtimizia mahitaji yake.Dawa ni kumuachia huo,anayemtimizia mahitaji yake.
 
Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.

Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
Kumbuka Melissa hiyo hiyo,ndio itakayo export mazao kutoka kwetu.Ikizidi kuchelewa ndivyo vile vile export itachelewa.
 
Back
Top Bottom