Kwa hili la mzigo huu, wacha tu bandari ibinafsishwe

Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
MAPUNDA YANAYOPINGA UWEKEZAJI HUU MENGI KWA ASILIMIA 95 YANAFUATA TU MKUMBO HAYAFAHAMU HADHA ZA BANDARI YETU NA URASIMU USIO NA MAANA YOYOTE.
 
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Nina uhakika hata mzigo hujawahi kuagiza
 
Yaani bandari iuzwe kwa ajili ya kakontena chako cha vi nguo vya kichina?
Huna akili.
Kilio chetu mkataba uboreshwe hatupingi uwekezaji
Mimi binafsi napinga kubinafsi bandari zetu sio kubiresha mkataba kwasabu ccm hawana mipango yoyote zaidi ya kuchezea malizetu wakifikiri ni mali za chama chao,utakuja uongozi mwingine zitajiendesha kwa faida
 
Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.

Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
Hajui kitu huyo hana hata certificate ya Uchumi.
 
Attachments

  • F0RqcgTXsAEZyPp.jpeg
    F0RqcgTXsAEZyPp.jpeg
    76.8 KB · Views: 2
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Umetumwa uzungumze haya ili tubadili uelekeo?
 
Back
Top Bottom