Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Kontena utolee wapi mwandiko wenyewe kontena la food
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupingi uwekezaji. Tunapinga KUPIGWA kupitia hiyo MIKATABA.Yaani bandari iuzwe kwa ajili ya kakontena chako cha vi nguo vya kichina?
Huna akili.
Kilio chetu mkataba uboreshwe hatupingi uwekezaji
Pamoja sana man🤣Hatupingi uwekezaji. Tunapinga KUPIGWA kupitia hiyo MIKATABA.
Mzee hapo umechemka biashara ni kuuza na kununua kikubwa ku balance. Tanzania tunacho export ni mali zilezile toka miaka ya 70 hatuna viwanda vya kuzalisha mali za kushindana na nje. ndio maana unaweza kununua bidhaa ya china bei rahisi kuliko iliyotengenezwa Tz. Hoja yako uchumi sio import tu haina mshiko mtu unauza na unanunua, huyu akileta mzigo hapa anauza analipa kodi. Sijawahi kusikia nchi wao wanauza tu hawana import.Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.
Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
Nilivyoona tuu konteina " nikaingiwa mashakaWanalazimisha bandari zetu ziuzwe kwa visingizio vya kuchelewasha mzigo ukimuliza mchakatoto wa kutoa mzigo ukoje wanakimbia,hata TIN ukimuliza nini mtakesha.
Utarekebishwa tu hakuna shakaUbinafsishaji wa bandari ni muhimu. Ila mkataba huu ndio una ukakasi kwa watu.
Asili Mtanganyika uraia mtanzania... ila na wewe kama huna laana basi unaitafutaDuh, laana tena?
Wewe ni mtz au mtanganyika?
Asili Mtanganyika uraia mtanzania... ila na wewe kama huna laana basi unaitafutaDuh, laana tena?
Wewe ni mtz au mtanganyika?
Asili haipo tena, ni past tense, kama unaringia asili basi ringia unyaniAsili Mtanganyika uraia mtanzania... ila na wewe kama huna laana basi unaitafuta
Laana hii wewe tayari unayo? Au na wewe bado unaitafuta?Asili Mtanganyika uraia mtanzania... ila na wewe kama huna laana basi unaitafuta
Unamsusia kisha unaenda kuoa mwingine[emoji1][emoji2][emoji3]Wanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SawasawaUtarekebishwa tu hakuna shaka
Mkuu majuzi nilikuwa TPA wanasema wao hawana tatizo kabisa la ufanisi, tatizo ni hao shipping line au wakala wa meli wanakuwa hawajakamilisha kufanya clearance ili meli iruhusiwe kutia nanga na kushusha mizigo, msizushe visingizio visivyokuwepo kuhalalisha bandari kupigwa mnada.Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Agent ananiambia upande mwingine wameclear kila kitu, ni upande wa bandari tu unasua sua kwa kuwa kuna foleni na mizigo inapakuliwa very very slowMkuu majuzi nilikuwa TPA wanasema wao hawana tatizo kabisa la ufanisi, tatizo ni hao shipping line au wakala wa meli wanakuwa hawajakamilisha kufanya clearance ili meli iruhusiwe kutia nanga na kushusha mizigo, msizushe visingizio visivyokuwepo kuhalalisha bandari kupigwa mnada.
Pm majaliwa ameshasema mkataba bado na ukiwa tayari maoni ya wananchi yatazingatiwa, nafkiri imeelewekaBora hilo container lirudi lilipotoka huko china, maana inaonyesha wewe mwenyewe ni ngumu wa kuelewa.
Ipo hivi:-
Hakuna yyte anayepiga ubinafsishwaji, kinachopingwa ni aina ya mkataba uliosainiwa. Ila endapo Mkataba ukirekebishwa hao walalamikaji hawatakuwa na shida tena.