Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
Oya acha kuonesha ujinga wako basi, kama unakufaa sana kaa nao mwenyewe.Unacheza na maneno, unafikiri container likifika unaenda kuchukua kama unavyotumiwa kifurushi cha mzigo Kimbinyiko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya acha kuonesha ujinga wako basi, kama unakufaa sana kaa nao mwenyewe.Unacheza na maneno, unafikiri container likifika unaenda kuchukua kama unavyotumiwa kifurushi cha mzigo Kimbinyiko?
Acha propaganda za kitoto,usifikiri upo mwenyewe unaye import bidhaa tuko wengi tena wengi sana.Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Bandarini pagumu pasikie tuu! Kwa mfumo ulivyo pale (mfumo usio rasmi, lakini), hata wewe ukiajiriwa pale, hata kama ni mwadilifu wa kupindukia, utachagua moja:Hayo mapungufu yote hatuwezi kurekebishana wenyewe mpaka aje mtu kutoka nje? Yaani nchi imekua ngumu hivi kuisimamia mpaka tupate usaidizi kutoka nje?
Hao wanaofanya hizo vitu hawana maboss wao wa kuwawajibisha?
Umewai fanya kazi hapo?Bandarini pagumu pasikie tuu! Kwa mfumo ulivyo pale (mfumo usio rasmi, lakini), hata wewe ukiajiriwa pale, hata kama ni mwadilifu wa kupindukia, utachagua moja:
(a) Kufuata mfumo huo usio rasmi (unaokulazimu lazima uwe "mpigaji"). (b) Ukubali kufukuzwa kazi kutiwa gerezani, n.k. kwa "mizengwe".
(c) Kuawa (kwa "juju", vijana wa kazi, n.k.).
Bandarini Dar ni pagumu sana. Ni bonge la "shamba la bibi", usipime.
kichaa mwingine kajitokeza!!Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
😆😆. Kama analiwa na hakusikii huku bado unamhusudu, wewe hauwezi hama kuikimbia fedheha na kwenda kuificha sura yako mbali? Majaribu hayo mkuu ujue!Wanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa 🤣🤣🤣🤣
Unachokiongelea wewe si agenda ya kiTaifa kwa sasa!Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Kwamba akihama ndo haliwi tena..!! 😄 😄 😄Wanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa 🤣🤣🤣🤣
Hivi unakijua kinachopingwa..!!??Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Pm majaliwa ameshasema mkataba bado na ukiwa tayari maoni ya wananchi yatazingatiwa, nafkiri imeeleweka
Hapana, usiende huko. Mkataba ule, binafsi uko vizuri ILA unatakiwa kupitiwa upya kwa makini na kisha kufanyiwa marekebisho (kama hakuna "hila" yoyote). Kimsingi (kisheria), Mkataba (Makubaliano) lazima uwe wazi wenye kueleweka unaojieleza kwa kujitegemea wenyewe. Hautakiwi kuwa na makando-kando. Ujitosheleze kwa maelezo na takwimu ili anayeyasoma auelewe pasi kumwacha na mashaka. Uwe wenye manufaa kwa pande zote mbili zilizoingia Makubaliano husika.Majitu mengi ya
Majitu mengi yanayopinga hayana hoja yanapinga kwa ushabiki tu na chuki za uzanzibari v/s ubara
asante sana legendary hapo ndipo wanafukiza vichwa kwenye mchanga wanajifanya hawajui tunachohoji.Watu hawapingi bandari kuendeshwa na kampuni ya nje kama hilo litaleta ufanisi.
Watu wanapinga mikataba mibovu.
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Ilikuwa ni kuwakaribisha rasmi waje tuongee sasa kuhusu mkatabaKwahiyo kilichokuwa kinajadiliwa na bunge halafu kikapigiwa jura ya ndiyoo ilikuwa ni nini?
Kwahiyo nyie mpinge na sie tuwaunge kindezi ndezi tu,Unachokiongelea wewe si agenda ya kiTaifa kwa sasa!
Kinachoongelewa ni mikataba mibovu ya kinyonyaji na ya hovyo iliyoingiwa kisheria kati ya DP na Serikali period
Ufanisi na utendaji wa Bandari si agenda kwa sasa na hakuna hata mmoja aliyekataa wala kupinga uwekezaji wenye tija.
Unapotoka hadharani kuunga mkono jambo lenye utata katika jamii, ni sawa na kukoleza moto kwa petroli.
Kama hautaki kusikiliza hoja enye mashiko zinazotolewa na wanasheria wasomi, zinazofafanua uozo uliomo katika mkataba huo, basi ni heri ukajikalia kimya na kukaa kimya siyo ujinga.
Ndio solution tunayotumia miaka nenda miaka rudi, kama kuna nyingine unashauri tu
Hapa ndugu umepiga siasa nikwambie.Kwahiyo nyie mpinge na sie tuwaunge kindezi ndezi tu,
unavyoona wewe sivyo ninavyoona mimi
Si lazima ukubali maoni yangu na usinilazimishe kukubali yako
Hao unaowaona wasomi kwangu ni wajinga na watu wa maslahi tu, na wengu wamenunuliwa na kenya kwa faida ya kenya, maadui wa tz ni wengi sana
Ilikuwa ni kuwakaribisha rasmi waje tuongee sasa kuhusu mkataba
Ndo hapo 🤣🤣🤣Kwamba akihama ndo haliwi tena..!! 😄 😄 😄