Kwa hili la mzigo huu, wacha tu bandari ibinafsishwe

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
 
Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.

Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
 
Weka BL number ni track nitakuambia shida nini achana na propaganda
 
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Wanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa 🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba uwajibikaji hapo hauwezi kuimarishwa zaidi ya kubinafsisha?
 
Wanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa 🤣🤣🤣🤣
Hata mie sipingi, nasapoti lakini kwa hali ilivyo, wacha tu tujaribu wengine sie hatuwezi
 
Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.

Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
Hiyo meli iliyoleta mzigo ndio hiyo hiyo itapakia mizigo mnayo exports baada ya kuwa empty,
Sasa kama inachelewa hivyooo,
si ni tatizo?
 
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Mtajuana wenyewe hiyo Bandari yenu.
 
Mkuu kama ni kweli unachosema agent wako anakudanganya labda kama uko kisiasa zaidi.
Mm niko CFA, sasa hivi hakuna meli inayokaa wiki bila kushusha tangu TICTS iondolewe
Wanalazimisha bandari zetu ziuzwe kwa visingizio vya kuchelewasha mzigo ukimuliza mchakatoto wa kutoa mzigo ukoje wanakimbia,hata TIN ukimuliza ni nini mtakesha.
 
Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna

Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Yaani bandari iuzwe kwa ajili ya kakontena chako cha vi nguo vya kichina?
Huna akili.
Kilio chetu mkataba uboreshwe hatupingi uwekezaji
 
Back
Top Bottom