Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
MAPUNDA YANAYOPINGA UWEKEZAJI HUU MENGI KWA ASILIMIA 95 YANAFUATA TU MKUMBO HAYAFAHAMU HADHA ZA BANDARI YETU NA URASIMU USIO NA MAANA YOYOTE.Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Nina uhakika hata mzigo hujawahi kuagizaNina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Acha ukuda wewe, tunapinga mkataba mbovu sio uwekezaji, mbona hamna akili?MAPUNDA YANAYOPINGA UWEKEZAJI HUU MENGI KWA ASILIMIA 95 YANAFUATA TU MKUMBO HAYAFAHAMU HADHA ZA BANDARI YETU NA URASIMU USIO NA MAANA YOYOTE.
Mimi binafsi napinga kubinafsi bandari zetu sio kubiresha mkataba kwasabu ccm hawana mipango yoyote zaidi ya kuchezea malizetu wakifikiri ni mali za chama chao,utakuja uongozi mwingine zitajiendesha kwa faidaYaani bandari iuzwe kwa ajili ya kakontena chako cha vi nguo vya kichina?
Huna akili.
Kilio chetu mkataba uboreshwe hatupingi uwekezaji
Wewe una TIN namba ya iPhone au ya Apple tunzia hapo.Taratibu aisee, yaani hata tin nisiwe nayo?
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani bandari iuzwe kwa ajili ya kakontena chako cha vi nguo vya kichina?
Huna akili.
Kilio chetu mkataba uboreshwe hatupingi uwekezaji
Hizo ndio naziskia leoWewe una TIN namba ya iPhone au ya Apple tunzia hapo.
Acha ufala asee bandari inakwendaa😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Where else?
Duh, kuna watu wana bahatiiiiiHuyu mleta mada ukute ni Maulid Kitenge
Nani anayepinga? Mbona tunageuza hoja za msingi kuwa ushabiki? Watu wanangumzia terms zilizomo kwenye mkatabaWanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
Haiendi popote, mwarabu ataendesha mda ukiisha ataondoka ataiachaAcha ufala asee bandari inakwendaa
Huyu ni Zembwela huyu au yule anayejichubuaHuyu mleta mada ukute ni Maulid Kitenge
Duh, sio mchezo, na ndio maana hata kwenye mkataba mnabahatishia vipengele, uhakika hamnaHuyu ni Zembwela huyu au yule anayejichubua
Hajui kitu huyo hana hata certificate ya Uchumi.Mkuu biashara ya imports haijengi Uchimi wa nchi kwa sababu fedha ya madafu ndio inazunguka, halafu wewe unachukua dollar unapeleka nje kununua hizo bidhaa.
Uchumi wetu utajengwa kwa Exports yaani bidhaa tunazouza nchi za nje na kuleta dollar nchini. Kwa hiyo focus nzima ya mradi wa Bandari ni kuhudumia sisi Majeta wa mali za nje..
Muda gani wewe???Haiendi popote, mwarabu ataendesha mda ukiisha ataondoka ataiacha
Acheni kuishi kizamani, ulimwengu umebadilika na ukolonoli hauwezi kurudi kamwe,
Tunachoangalia ni maslahi tu
Nyie ndio mepewa kazi ya kutuelisha kuhusu bandari zetu kuuzwa?Hizo ndio naziskia leo
Umeuliza huko bandarini chanzo cha kutotoa konteina lako ni kipi?
Umetumwa uzungumze haya ili tubadili uelekeo?Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna
Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi