OZAN KABAK
Member
- Dec 18, 2021
- 73
- 72
Binafsi swala la Kukopa kopa hovyo siungi mkono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko timamu kichwani au una stress?Sasa bahati nzuri the Rate Chumaa na maswala ya mikopo ni vitu viwili tofauti... Hakupenda., kwahiyo ndugai asinge ongelea hilo
Hivi Ndugai angeweza kuhoji kama ingekuwa mkopo huo umekopwa na serikali ya Magufuli?Kauli za Ndugai hazivumiliki....kusema nchi itakuja kupigwa mnada hapa anamaanisha huyu anaeongoza nchi ni hovyo...
Kauli ya kusema 2025 mtachagua wenyewe kuendelea na hawa wa kukopa kopa ama la...bado ni ya Kumsimanga Rais kwamba hafai kuongoza nchi inafaa abadilishiwe..
Ndio maana jana Mama Samia kasema kuna watu walitilia shaka uwezo wake wakati anaapishwa kuongoza, Sasa wanaona aibu kwa mambo makubwa anayoyafanya...
Tz hata Bambo au kingwendu anaweza akawa Raisi wa nchi,mijitu inaulemavu wa akiliYani umeongea sahihi kabisa.Ndio mana wanasema kumtawala Mtanzania ni rahisi sana sijui nani alituroga jaman mbn hatuna akili kabisa?
Kwahio Mkuu una Furahia mikopo au una chuki Binafsi na JOBO?Hivi Ndugai angeweza kuhoji kama ingekuwa mkopo huo umekopwa na serikali ya Magufuli?
That's 💪Ndugai kawa jaairi katonya yanayoendelea jikoni...
Tatizo watonywaji hatujielewi... Mbaya anatabaki kuwa Ndugai!
Siwezi kuwa na chuki kwa Job sababu hainiongezei chochote.Kwahio Mkuu una Furahia mikopo au una chuki Binafsi na JOBO?
Huenda rekodi yake ya nyuma imemfanya kutoaminika tena hata kama anachoongea kina umuhimu.Ndugai kawa jaairi katonya yanayoendelea jikoni...
Tatizo watonywaji hatujielewi... Mbaya anatabaki kuwa Ndugai!
Tatizo siyo watanzania bali ni chama tawala..Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei.
nakwakutambua akili za wana ccm zinawaza madaraka ya teuzi,ikatangazwa nafasi za uwaziri, angalia matamko kwenye mitandao yakumponda nakumtaka ajiuzuru, ukiangalia sababu et kwakuwa amehoji kuzidi kukopa wakati tuna tozo na kodi inalipwa vizuri tu! Nahapa tupaze sauti kumuunga nape nauye kwenye hoja yake ya CAG kufanya uchunguzi ya mikopo yote na matumizi yake ili tujue mikopo yote za awamu ya tano na sasa inaendana na miladi iliyopo?Habarini!
Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei.
Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious?
Yeah ni kweli kuna sehemu nyingi Ndugai kateleza sana huko Nyuma ila Kuna msemo unasema "Mnyonge Mnyongeni Ila Haki yake Mpeni" Ndugai ana haki ya kujibiwa Sio kwa Njia ya personal attack ila kwa njia ileile aliyotumia kuelezea Issue yake.
Hili suala la Ndugai tuweke Makosa yake pembeni tumhoji Rais sio tufurahi kifo cha Ndugai.
NOTE:
Swala la Msamaha alioomba Ndugai to Me usiulete hapa, ule alileta Njaaa zake tu na hizo ndio errors zake Kila siku tujadili Issue.
Tatizo kubwa ni CCMTz hata Bambo au kingwendu anaweza akawa Raisi wa nchi,mijitu inaulemavu wa akili
Labda wewe mwenzetu, sisi tunajielewa vizuri.Ndugai kawa jaairi katonya yanayoendelea jikoni...
Tatizo watonywaji hatujielewi... Mbaya anatabaki kuwa Ndugai!
Wao ni wananchi kama wengine na wanayo haki ya kugombea kama watapenda. Usipende kudharau watu.Tz hata Bambo au kingwendu anaweza akawa Raisi wa nchi,mijitu inaulemavu wa akili
We inaonekana haujui mchakato wa hoja ya kutokuwa na imani na Rais bungeni.Hoja ya kutokuwa na Imani na raisi ipelekwe haraka bungeni , Raisi wa mipasho hatufai
Hebutufanye tathimini kati ya.mwendazake na.mama ninani amekopa zaidi mbona hakuinua mdomo wakeKwahio swala la kukopa Nchi yetu kwa kasi sana na kuweka Tozo unalichukuliaje Mkuu?