Wakati wenzio wanasoma wewe ulikua unashinda porini ukila mapera kama ngedere,matokeo yake shule ikakushinda ukaishia kufoji vyeti.Magufuli alivyokutumbua kwa vyeti feki umejenga chuki mpaka kwa kaburi lake . patheticRubbish,kwamba tutakuwa tunakumbuka nini kumhusu Mwendazake?
Nchi hii inapenda Sana kutumia pesa kwenye mambo ya kijinga na kutumia akili vibaya kwa mambo ya hovyo hovyo..
Vingi tuKwahiyo humo ndani Kuna vitu Gani Zaid vya kumuenzi Jiwe?
Nimemuona Mama yake Magufuli Bi Susane kumbe Mungu alimsaidia katoka Hospitali
Ni matumizi mabaya ya akili na rasilimali,imagine eti unajenga makumbusho ya Mwendazake Ili tujifunze nini hasa?Wakati wenzio wanasoma wewe ulikua unashinda porini ukila mapera kama ngedere,matokeo yake shule ikakushinda ukaishia kufoji vyeti.Magufuli alivyokutumbua kwa vyeti feki umejenga chuki mpaka kwa kaburi lake . pathetic
Ni matumizi mabaya ya akili na rasilimali,imagine eti unajenga makumbusho ya Mwendazake Ili tujifunze nini hasa?
Mkapa yuko hanoured maeneo mengi Duniani na Afrika na ana Mkapa foundation,sasa huyo Mwendazake for what? Ili tujifunze nini? Udikteta au ukatili au uongo au kipi hasa? Nisaidie wewe mwenye cheti.
mliotolewa makazini kwa kuwa na vyeti vya kubumba.Hilo Jumba tunaenda kukumbuka nini?????
Trillioni moja ni ndogo sana kwa makubwa aliyofanya mzalendo jpm.labda kama ingekuwa kwa samia ndiyo tungehoji hiyo trillionKwahiyo humo ndani Kuna vitu Gani Zaid vya kumuenzi Jiwe? Unaweza ambiwa Hilo jengo limegharimu trillion 1.
Huku mnatukamua tozo alafu matumizi yake ndio kama hayo.
Shit hole country!!
Kama hela itachezewa hivyo basi ukwepaji wa kodi utakuwa mwingi sana.Trillioni moja ni ndogo sana kwa makubwa aliyofanya mzalendo jpm.labda kama ingekuwa kwa samia ndiyo tungehoji hiyo trillion
Nyerere amefanya kipi hasa?Makumbusho ingebaki moja tu ya mzee Nyerere, hao wengine yabaki tu kuwa makaburi.
Muulize mama yako mzaziWamejenga wapi? Chato au Geita?
Wasema wewe uliejeruhiwa, majority mbona poa sana tuPesa zetu za tozo zinachezewa, kujenga makumbusho ya dikteta, mwizi, katili na muuaji!
Inapendeza!!View attachment 2387809
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.
Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa.
Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea Makumbusho ya kisasa hakika Rais Samia anastahili pongezi za dhati!
Vilevile, Rais Samia ametembelea kaburi la Hayati Magufuli.
Ben saa8 kupotea na Lissu kupigwa risasi.Hilo Jumba tunaenda kukumbuka nini?????