Mama ameonyesha mapenzi makubwa sana Dr Magufuli aendelee kupumzika kwa amani maana ametuacha katika mikono salana ya Rais Samia SuluhuView attachment 2387809
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.
Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa.
Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea Makumbusho ya kisasa hakika Rais Samia anastahili pongezi za dhati!
Vilevile, Rais Samia ametembelea kaburi la Hayati Magufuli.