Kuna siasa ktk hili. Mama anawapaka mafuta sukuma gang kwa mgongo wa majengo ya makumbusho ili 2025 wampe kura lkn hakuna kitu hapo.Hivi makumbusho ya Mkapa na Nyerere yapo wapi vile
Siku si nyingi baada ya uchaguzi wa 2025 moto utaibuka humo na kuunguza kila kilichomo.