Labda mmeo alibikiriwa nayeUmesahau Moja kwamba alikulawiti.
Labda mmeo alibikiriwa nayeUmesahau Moja kwamba alikulawiti.
Ni kweli ilikuwa approach nzuri ila ilibagua.hatuzungumzii vyeti feki bro,dawa ilikuwa ni kurudi darasani sababu mtindo alioutumia uliitwa NO SHORTCUT.
Kwahiyo humo ndani Kuna vitu Gani Zaid vya kumuenzi Jiwe? Unaweza ambiwa Hilo jengo limegharimu trillion 1.
Huku mnatukamua tozo alafu matumizi yake ndio kama hayo.
Shit hole country!!
Huyu mama anasumbuliwa na mzimu wa Magufuli, Baada ya Magufuli kufa Rais alitakiwa awe mwanaume dizain ya kina Membe angetupilia mbali mambo ya hovyo aliyayafanya ikiwemo miradi ya hovyohovyo. Mwanamke ni mwanamke tu bado hajiamini, haamini km ni Rais inaonekana kuna watu wanamtishia hasa kanda ya ziwa ndio maana mara kwa mara yuko kanda ya ziwa hajui kuna kanda zingine nchi hii ikiwemo ya kusini hawa anawadharau.Kwahiyo humo ndani Kuna vitu Gani Zaid vya kumuenzi Jiwe? Unaweza ambiwa Hilo jengo limegharimu trillion 1.
Huku mnatukamua tozo alafu matumizi yake ndio kama hayo.
Shit hole country!!
We ndiyo wa hovyo kuwahi kutokea. Km we ndio kwa akili hizo umeenda shule hakuna wa kumlaumu zaidi ya mamako. Ni mambo ya hovyo km Uwanja wa Chato. Hakuna binadamu alikuwa na IQ ndogo km mwendazake. Alikuwa amejaa ubinafsi, ubaguzi, chuki aliligawa Taifa. Ila kweli Mungu fundi ukizidi anakuondoa usiendelee kutesa waja wake. Shida huyu mama naye ameshachanganyikiwa anafanya mambo ya hovyo, anapelekwa kama tela. Makumbusho ya Magufuli? Naamini hata dunia imemshangaa na punde watakuja kumdharau. Amejiharibia sanaWakati wenzio wanasoma wewe ulikua unashinda porini ukila mapera kama ngedere,matokeo yake shule ikakushinda ukaishia kufoji vyeti.Magufuli alivyokutumbua kwa vyeti feki umejenga chuki mpaka kwa kaburi lake . pathetic
Asante. Si hili tu Mhe. Rais Samia anafanya mengi makubwa kuendeleza miradi yote mikubwa ya mtangulizi wake. Ni wazushi tu ndiyo hueneza uongo. Serikali za CCM kila Rais huendeleza mema ya mtangulizi wake. Wanaongozwa na Ilani.🙏🙏🙏View attachment 2387809
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.
Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa.
Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea Makumbusho ya kisasa hakika Rais Samia anastahili pongezi za dhati!
Vilevile, Rais Samia ametembelea kaburi la Hayati Magufuli.
Mambwa yakishiba pesa zetu yanaamua kuzizika.Nchi ina watu wa ajabu sana
Vyeti feki mwingine huyuWe ndiyo wa hovyo kuwahi kutokea. Km we ndio kwa akili hizo umeenda shule hakuna wa kumlaumu zaidi ya mamako. Ni mambo ya hovyo km Uwanja wa Chato. Hakuna binadamu alikuwa na IQ ndogo km mwendazake. Alikuwa amejaa ubinafsi, ubaguzi, chuki aliligawa Taifa. Ila kweli Mungu fundi ukizidi anakuondoa usiendelee kutesa waja wake. Shida huyu mama naye ameshachanganyikiwa anafanya mambo ya hovyo, anapelekwa kama tela. Makumbusho ya Magufuli? Naamini hata dunia imemshangaa na punde watakuja kumdharau. Amejiharibia sana
Unaweza connect dot na wale wanambeza na kile kinaendelea ukahisi jambo linakuja🤐View attachment 2387809
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.
Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa.
Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea Makumbusho ya kisasa hakika Rais Samia anastahili pongezi za dhati!
Vilevile, Rais Samia ametembelea kaburi la Hayati Magufuli.
alizipeleka wapi,unaweza kunitajia japo alipopeleka hata tumilioni mia 5 tu panapoonekana waziwazi.Ila yeye akajipatia 1.5t kwa njia ya shortcut!
Sijasema alikuwa perfect kwa 100%, hayo ni makosa madogo madogo ya kiufundi katika utendaji pia issue ya Makonda ilikuja kwa sura ya kisasi baada ya kuwataja drug dealers na kuahidi ku-deal nao...Makonda alikuwa ana muda gani kwenye utumishi mbona mwanzo hatukuyasikia hayo?kwa hiyo hata ningekuwa mimi ningejipa muda kulichunguza hilo...Ukitoa JK Nyerere, Hayati JP Magufuli ni Raisi wa pili aliyeonesha kuwa Mzalendo wa kweli kwa nchi yetu ya Tanzania. Huyu Bro kwa nje ya nchi sidhani kama ana hata Kibanda cha Tigopesa(uwakala), achilia mbali Account ya benki na mauwekezaji makubwa makubwa kama waliyokuwa nayo baadhi ya viongozi wakubwa waliopita na waliopo.Ni kweli ilikuwa approach nzuri ila ilibagua.
Mfano kashfa ya wazi ya Makonda kuwa na vyeti feki.
Ajabu ajabu, akili ni mali na maarifa ni mali pia. sasa ni mda wa kununa.Nchi ina watu wa ajabu sana
Afadhari kujenga makumbusho ya jpm,kuliko kuwapa posho wale mashoga,Pesa zetu za tozo zinachezewa, kujenga makumbusho ya dikteta, mwizi, katili na muuaji!
Walikuinamisha?Afadhari kujenga makumbusho ya jpm,kuliko kuwapa posho wale mashoga,
Hakika !!Iwe iwavyo JPM atabaki mfariji na alama muhimu kwa umma mkubwa wa watanzania, wote wanaombeza JPM hauwajui umma ulio nyuma ya JPM mpaka sasa.
Huwezi kuondoa legacy ya JPM kwa kuponda mitandaoni tu, haiwezekani.
Hauwezi kuwabadilisha waliompenda JPM, haiwezekani.
Wanaendelea kujikumbushia historia yake kupitia mitandaoni km youtube na machapisho.
Natambua uwepo wa kundi kubwa la waathirika wa uongozi wa JPM wakiwemo wa nje na ndani ya nchi.
Waathirika wa nje ya nchi ni pamoja na makampuni na watu wao waliokuwa wanafanya shughuli zao kiwizi na kibabe ie ACACIA na wengineo, uhuni wa serikali za nje dhidi ya maslahi ya Tanzania.
Waathirika wa ndani ya nchi ni pamoja na vyeti feki, wanufaika wa wafanyakazi hewa, wanasiasa wanafki na wenye njaa, mafisadi, wafanyabiashara haramu, wakwepa kodi, wafanyakazi wasio waadilifu, ma'mangimeza, miungu watu katika ofisi za serikali, wapigaji, majambazi, vibaka, wavivu na watu wote walio nyuma ya makundi niliyoyataja kwa maana ya familia zao, rafiki zao, jamaa zao na wapambe wao. ...
makundi hayo yaliathirika vibaya sana, wana hasira, nawelewa uchungu mliokuwa nao na furaha mliyonayo sasa, ni wakati wenu sasa mnaweza kumsema ovyo marehemu muwezavyo.
Lakini nawaambia alipofariki aliacha ameweka muhuri wa moto maisha yake na uongozi wake juu ya nyoyo za waliompenda.
Hakuna namna unaweza kubadilisha hiyo.
Umenena. !! Na ni Akili kubwa tu ndizo zinazoweza kukuelewa katika hii comment yako !!Makumbusho ni kwa watu mashuhuri waliofanya mambo makubwa kwa nchi zao katika nafasi zao na kuitikisha nchi kwa kuigusa jamii kwa uchanya ili vizazi vijavyo vije kujifunza kutoka kwao...Ni akili kubwa tu ndizo zinazojengewa makumbusho kama Hayati JK Nyerere na sasa Hayati JP Magufuli.