Kwa hilo la makumbusho ya Hayati Magufuli, Rais Samia apongezwe

humo kwenye hilo makumbusho wameweka nini??? au wameweka ndevu zake??? miwani yake??? nguo zake??
 
kwenye hiyo makumbusho msisahau kuiweka na corona, yale mapapai, mbuzi aliowapima corona nao wawepo, primitive prezida ever
 
Pesa zetu za tozo zinachezewa, kujenga makumbusho ya dikteta, mwizi, katili na muuaji!
Hayo unayasema wewe punguwani..umeshawah sikia kiongoz yoyote kwenye serikal yetu hii ya SSH akilalama upuuzi wako...ndio ujue jomba kwamba uko pekeyako na jahazi limeshainua nanga na umebaki pekeyako
 
..kwa magufuli ni vigumu kuweka kumbukumbu zake.

..hakuacha maandiko yoyote, na alikuwa hana utaratibu wa kutoa hotuba rasmi.

cc Nguruvi3
Hukuwa na upendo nae,zipo hotuba zake nzuri zenye kutia ujasiri watanzania namna ya kufanya kazi kwa bidii ili kuachana na uttegemezi wa kurembeza bakuri,utahaririwa wasifu wake na utawekwa kwenye hayo makumbusho,ondoa shaka
 
Achape kazi aache janjajanja kama za akina Makamba kugawa gas.

Makumbusho bila kuenzi fikra zake ni uzwazwa na kutaka kuhadaa umma.

Hiyo ni rushwa ya kiwango cha PHD
 
Hilo Jumba tunaenda kukumbuka nini?????
Mengi sana usijifanye hujui. Hata kama ni kipofu lakini hata sauti za midege huzisikii??.... hata ndege hupandi..??? Basi nenda kakoje ulale
 
Achape kazi aache janjajanja kama za akina Makamba kugawa gas.

Makumbusho bila kuenzi fikra zake ni uzwazwa na kutaka kuhadaa umma.

Hiyo ni rushwa ya kiwango cha PHD
Heheheh why rushwa...labda tuambie kwanza
 
Baada ya kufanya termination, kwa unafiki wakaamua kumjengea makumbusho ili kuficha yaliyopo nyuma ya pazia.

Watu wanataka Magufuli akumbukwe kwa kuyaenzi mema yake aliyoyafanya na kufuta mabaya yake aliyotufanyia na sio kujenga makumbusho yake.
 
Wanashindwa kumkumbuka kwa juhudi zake na mambo aliyofanya kwa ushahidi wa vitendo kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa madaraja na barabara.

Wanakaa kuongea pumba tu hapa. Sijawahi kusikia tokea afariki midomo imtambue kwa mazuri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…