Kwa hilo la makumbusho ya Hayati Magufuli, Rais Samia apongezwe

Mama ameonyesha mapenzi makubwa sana Dr Magufuli aendelee kupumzika kwa amani maana ametuacha katika mikono salana ya Rais Samia Suluhu
 
Hizi komenti za fesibuku zimefikaje tena Jf
 
Hivi mbona mkapa hajafanyiwa haya
 
Wanashindwa kumkumbuka kwa juhudi zake na mambo aliyofanya kwa ushahidi wa vitendo kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa madaraja na barabara.

Wanakaa kuongea pumba tu hapa. Sijawahi kusikia tokea afariki midomo imtambue kwa mazuri yake.
Amefanya mambo mengi mazuri sana lakini aipoishia Rais Samia Suluhu anaendeleza kwa kasi ndani ya siku 575 za uongozi wake ameboresha kila sekta inayomlenga direct mwananchi
 
Wangejenga makumbusho moja kwa viongozi wote
 
Sasa hapo Makumbusho wanahifadhi ni ni? Kwamba alijenga chattle airport au kutesa na kuua wapinzani?

Anyway ile ishu ya kubadili mtaala sijui ilikufa kifo gani?
 
Hukuwa na upendo nae,zipo hotuba zake nzuri zenye kutia ujasiri watanzania namna ya kufanya kazi kwa bidii ili kuachana na uttegemezi wa kurembeza bakuri,utahaririwa wasifu wake na utawekwa kwenye hayo makumbusho,ondoa shaka

..hata yeye Magufuli hakuwa na upendo kwa wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani.
 
Kila kiongozi kazikwa alipozaliwa

Makumbusho si lazima ijengwe mahali kiongozi kazikwa, ingejengwa Dom au Dar...

Huko wanapozijenga kunatoa fursa ndogo kwa watu wengi kufika na pengine kujifunza...
 
Mama anacheza na akiri za watu kuelekea 2024/ 2025. Hakika anaendelea kuupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…