Kwa hilo la makumbusho ya Hayati Magufuli, Rais Samia apongezwe

Hivi makumbusho ya Mkapa na Nyerere yapo wapi vile
Kuna siasa ktk hili. Mama anawapaka mafuta sukuma gang kwa mgongo wa majengo ya makumbusho ili 2025 wampe kura lkn hakuna kitu hapo.

Siku si nyingi baada ya uchaguzi wa 2025 moto utaibuka humo na kuunguza kila kilichomo.
 
Kwenye makumbusho ya magu waweke picha za ben saa nane na tundu lissu vizazi vijavyo wajue tanzania ilishawahi kupata rais dikiteta na watu wakapotezwa! Hongera mama samia.
 
Kwa hiyo tutegemee kuwa na makumbusho mengi sana nchini, hapa tunasubiria ya Mzee Kikwete, Mwinyi, Samia mwenyewe and the list goes on
Hapana, Waislam hawana mambo hayo.
Tazama kaburi la Maalim Seif, Karume, AbdulWakil, Abdu Jumbe, nk
 
Wakati wenzio wanasoma wewe ulikua unashinda porini ukila mapera kama ngedere,matokeo yake shule ikakushinda ukaishia kufoji vyeti.Magufuli alivyokutumbua kwa vyeti feki umejenga chuki mpaka kwa kaburi lake . pathetic
Hivi unajua hata kufoji vyeti ni ujanja pia!
Kwa Mshamba km wewe huwezi, hilo linataka ujasiri na ni wajanja tu ndo wanaoweza.
 
Ni
Rubbish,kwamba tutakuwa tunakumbuka nini kumhusu Mwendazake?

Nchi hii inapenda Sana kutumia pesa kwenye mambo ya kijinga na kutumia akili vibaya kwa mambo ya hovyo hovyo..
Ni Rais wa kwanza Tanzania ambaye akwenda kujikomba kwa Wazungu ili apewe msaada wa kuendesha nchi na nchi ikasonga,rais wa kwanza Africa kununua ndege kwa kash,rais wa kwanza kutetemesha wezi na mafisadi mpaka Barrick walikuja kupiga magoti.Tukiwagusa tutashitakiwa MIGA by Lissu) tukiwagusa mafisadi Uchumi wa nchi utayumba by Pinda) lakini chuma alilala nao mbele,tena makumbusho ya Magufuli ingejengwa kila wilaya.
 
Magufuli ana vitu gani vya kukumbukwa mpaka ajengewe makumbusho? Bure kabisa!
 
Hivi mbona mkapa hajafanyiwa haya
Mkapa aliuza mashirika yetu ya umma na nyumba za serikali kwa bei che,alijimiliksha hadi migodi, Mkapa ndio chanzo cha ufisadi uliokomaa Tanzania,anachakukumbukwa,hata kwao kazikwa polini alipakimbia.
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…