Kwa hiyo ndo kusema kuwa wanawake hatuna haki ya kuelezea hisia zetu?

Kwa namna jamii yetu ilivyo hilo jambo linasound "awkward".....linahitaji uelewa binafsi wa huyo mwanaume.......ila kutokana na mazingira yetu hilo gumu
 
Mnatuchanganya mtu mmoja hisia kibao, wengine sio Ma alehandro bhana tuna definition zetu tofauti kuhusu hisia.
#Unyama 1: 5-6
 
Naona mzee umeamua kumpakilia kabisa . 😂😂😂 halafu unakuta mwanamke mwenyewe ni mnene hio ni hatari...😀😀😀
 
Kwani wewe huwa unamkubali kila anayekuja kwako? Hata sisi ni very selective.
 
Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe😋😋
 
Mi wameonesha hizo ishara wengi ila nimenasa kwa mmoja tu.
 
Huyu mtoa mada wala hajulikani ni wa upande gani..mara aje kiume ume...mara ajibadil aje ki kike kike...yan kiujumla haelewek..
 
📌📌📌📌📌
Naaaam
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Naaaam
Kwaiyo unamfikia unamwambia, "samahani kaka yangu, mi nimekupenda... twende basi ghetoni kwako ukanioneshe friji linalotumia mkaa"
Haki ya nani, dunia ina mengi!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alisikika singo maza mmoja
 
Pole sana bi dada. Nakukumbusha sio wajibu wa mwanamke kumpenda mwanaume. Rejea maandiko.
 
Single mother hamna soko huwezi mpenda kijana mbichi bishoo handsome ana pesa utamletea mikosi tu kaa kwa kutulia

Kingine punguzeni ego kwa sana inawagharimu kwa kweli mwambie tu basi tatizo kujikuta mwanamke special wewe ndo upewe attention
 
Sio kufukia hatua hii yaan had kutamani kutongoza ila yakinikuta pia siwez kumwambia mwanaume maana izo dharau zake utazopewa sio mchezo
Kunguru wa Manzese
 
Mfungukie tu, atakuelewa. Siyo wote wenye fikra kama hizo. Usije konda kwa kumkosa aliyekamata mtima wako.
Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…