Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.
Hii nchi ina pesa nyingi sana.
Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao.
Angalieni deni la taifa linavyopaa juu mawinguni kwa sababu ya CCM.
CCM inaikamua nchi hii kwelikweli, ni huzuni tupu.
Wazungu wanatakiwa kusitisha misaada kabisa kwa hii nchi, nchi ijitegemee hii, hizi pesa wanatafuna na kuchezea ni nyingi muno ndugu zangu watanzania.
Watanzania hamkeni tufanye mageuzi ya kiutawala la sivyo tutaendelea kupiga yowe milele.