Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😃😃Mwamposa yupo. Atawapa wese la upako.
Tena 'waheshimiwa' ndio ma supplier wakuu wa virusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃Mwamposa yupo. Atawapa wese la upako.
Tena 'waheshimiwa' ndio ma supplier wakuu wa virusi.
Chama kinalifilisi taifa.Hiki chama kinaikamua nchi, waanachota hella tu wanavyojisikia na kutumia hovyo hovyo.
Wananchi wanatakiwa kuhamka, mambo ya kusombwa kwenye malori kama mihogo na kwenda kuwashingilia watu wanaofyonza kodi zao wanatakiwa kuacha kwa kufanya mabadiliko ya kiutawala haraka iwezekanavyo.
Chama kinachota na kutumia tu pesa za wananchi.Dodoma imechafuka land cruiser new models, fortuner na hilux za kumwaga mpyaaaaaaaaaaaa
Hizo ni kodi zetu. Hatuna haja ya kusifia hapo.mbona amzungumzii miradi mikubwa inayoendelea nchini...au mnafikiri hii miradi mikubwamkubwa ni kama makalio kwamba kila taifa afrika linatekeleza kwa raia wake
Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.
Hii nchi ina pesa nyingi sana.
Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao.
Angalieni deni la taifa linavyopaa juu mawinguni kwa sababu ya CCM.
CCM inaikamua nchi hii kwelikweli, ni huzuni tupu.
Wazungu wanatakiwa kusitisha misaada kabisa kwa hii nchi, nchi ijitegemee hii, hizi pesa wanatafuna na kuchezea ni nyingi muno ndugu zangu watanzania.
Watanzania hamkeni tufanye mageuzi ya kiutawala la sivyo tutaendelea kupiga yowe milele.
Ewe mwanadamu acha leo ccm wafaidi nchi yao kama wanavyotaka ndo maana hakuna sherehe za Uhuru wa Tanganyika ila kuna sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar na sherehe za kuzaliwa ccm.Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.
Hii nchi ina pesa nyingi sana.
Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao.
Angalieni deni la taifa linavyopaa juu mawinguni kwa sababu ya CCM.
CCM inaikamua nchi hii kwelikweli, ni huzuni tupu.
Wazungu wanatakiwa kusitisha misaada kabisa kwa hii nchi, nchi ijitegemee hii, hizi pesa wanatafuna na kuchezea ni nyingi muno ndugu zangu watanzania.
Watanzania hamkeni tufanye mageuzi ya kiutawala la sivyo tutaendelea kupiga yowe milele.
Kwa kweli.Issue sio kufunga misaada inapaswa sisi wananchi tupambane kuweka mambo sawa, misaada ikifungwa hawa watu hawawezi kuteseka bali bado wananchi ndio watateseka maana haya majamaa ni manyonya damu na kwao sio issue kuendelea kutunyonya damu.
Watanzania tunapaswa kuamka na kupambania usawa katika Taifa hili, hakuna wakutusaidia hapa zaidi ya sisi wenyewe kupigania maslahi yetu.
Kwa kweli kabisaChama kinalifilisi taifa.
Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.
Hii nchi ina pesa nyingi sana.
Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao.
Angalieni deni la taifa linavyopaa juu mawinguni kwa sababu ya CCM.
CCM inaikamua nchi hii kwelikweli, ni huzuni tupu.
Wazungu wanatakiwa kusitisha misaada kabisa kwa hii nchi, nchi ijitegemee hii, hizi pesa wanatafuna na kuchezea ni nyingi muno ndugu zangu watanzania.
Watanzania hamkeni tufanye mageuzi ya kiutawala la sivyo tutaendelea kupiga yowe milele.
Mkuu kwan Kodi zetu huw zinafanya nn?mbona amzungumzii miradi mikubwa inayoendelea nchini...au mnafikiri hii miradi mikubwamkubwa ni kama makalio kwamba kila taifa afrika linatekeleza kwa raia wake
Hawatumii kodi zetu.Kuliko chadema waliofanya mikutano kwa siku tano, wakila, kunywa na kulala katika mahoteli ya kifahari
Oneni pesa zetu zinavyotumika, ni hurumaYaani ni aibu kubwa sana watu wanakausha hazina ili mtu mmoja awe Rais azidi kutafuna nchi.
Sio bure kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia . Kuna genge la watu wana mambo yao yaliyojificha kwa maslahi binafsi sio maslahi ya umma.
Maslahi ya umma haiwezekani mtu akatoa rushwa kwa kiwango hicho .
Siku huyu mama akiondoka madarakani ataabika sana maana kila kitu kitawekwa wazi .
Hakuna ubaya unaosifiwa milele.