Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado Yale magoli ya mama anayoyanunua kwa milioni 5 kila 1. Yaani Siku yanga au simba wakifanikiwa kufunga goli 10 ndio watanzania wanapata hasara ya milioni 50.Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.
Hii nchi ina pesa nyingi sana.
Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao.
Angalieni deni la taifa linavyopaa juu mawinguni kwa sababu ya CCM.
CCM inaikamua nchi hii kwelikweli, ni huzuni tupu.
Wazungu wanatakiwa kusitisha misaada kabisa kwa hii nchi, nchi ijitegemee hii, hizi pesa wanatafuna na kuchezea ni nyingi muno ndugu zangu watanzania.
Watanzania hamkeni tufanye mageuzi ya kiutawala la sivyo tutaendelea kupiga yowe milele.
Ni pesa zao usiwapangie matumiziKwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.