Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.
Hii nchi ina pesa nyingi sana.
Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao.
Angalieni deni la taifa linavyopaa juu mawinguni kwa sababu ya CCM.
CCM inaikamua nchi hii kwelikweli, ni huzuni tupu.
Wazungu wanatakiwa kusitisha misaada kabisa kwa hii nchi, nchi ijitegemee hii, hizi pesa wanatafuna na kuchezea ni nyingi muno ndugu zangu watanzania.
Watanzania hamkeni tufanye mageuzi ya kiutawala la sivyo tutaendelea kupiga yowe milele.
Hiki chama kinaikamua nchi, waanachota hella tu wanavyojisikia na kutumia hovyo hovyo.Marekani inajibana kutumia pesa zao za kodi sisi tunazichukua na kutumia kwenye kununua magari na kulipa wasanii
Wananchi wepi? Hawa hawaHiki chama kinaikamua nchi, waanachota hella tu wanavyojisikia na kutumia hovyo hovyo.
Wananchi wanatakiwa kuhamka, mambo ya kusombwa kwenye malori kama mihogo na kwenda kuwashingilia watu wanaofyonza kodi zao wanatakiwa kuacha kwa kufanya mabadiliko ya kiutawala haraka iwezekanavyo.
Marekani wako makini.Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.
Hii nchi ina pesa nyingi sana.
Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao.
Angalieni deni la taifa linavyopaa juu mawinguni kwa sababu ya CCM.
CCM inaikamua nchi hii kwelikweli, ni huzuni tupu.
Wazungu wanatakiwa kusitisha misaada kabisa kwa hii nchi, nchi ijitegemee hii, hizi pesa wanatafuna na kuchezea ni nyingi muno ndugu zangu watanzania.
Watanzania hamkeni tufanye mageuzi ya kiutawala la sivyo tutaendelea kupiga yowe milele.
Mabilioni ya USAIDsDodoma imechafuka land cruiser new models, fortuner na hilux za kumwaga mpyaaaaaaaaaaaa
Wakumbuke ARV hakuna tenaWasanii wa kike na kiume wamepeleka bidhaa za maungo yao kwa 'waheshimiwa'.
Huko ni mwendo wa ma 3some na 4some tu leo. Kwa udhamini wa CCM.
Mwamposa yupo. Atawapa wese la upako.Wakumbuke ARV hakuna tena