Kwa hizi pesa wanazochezea CCM, Tanzania ni tajiri sana, westerns wafunge misaada kabisa.

Chama kinalifilisi taifa.
 
mbona amzungumzii miradi mikubwa inayoendelea nchini...au mnafikiri hii miradi mikubwamkubwa ni kama makalio kwamba kila taifa afrika linatekeleza kwa raia wake
 
 

Attachments

  • VID-20250115-WA0018.mp4
    16.9 MB
Ewe mwanadamu acha leo ccm wafaidi nchi yao kama wanavyotaka ndo maana hakuna sherehe za Uhuru wa Tanganyika ila kuna sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar na sherehe za kuzaliwa ccm.
 
Kwa kweli.
 


Yaani ni aibu kubwa sana watu wanakausha hazina ili mtu mmoja awe Rais azidi kutafuna nchi.

Sio bure kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia . Kuna genge la watu wana mambo yao yaliyojificha kwa maslahi binafsi sio maslahi ya umma.

Maslahi ya umma haiwezekani mtu akatoa rushwa kwa kiwango hicho .

Siku huyu mama akiondoka madarakani ataabika sana maana kila kitu kitawekwa wazi .

Hakuna ubaya unaosifiwa milele.
 
Kuliko chadema waliofanya mikutano kwa siku tano, wakila, kunywa na kulala katika mahoteli ya kifahari
 
Oneni pesa zetu zinavyotumika, ni huruma

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1887090901551321377?t=Ylu3geurSGT5mg7iD79rhQ&s=19
 
Wanakula hadi wanajiuliza wale nn tena maana kama kula hela wamechoka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…