Kwa hizi pesa wanazochezea CCM, Tanzania ni tajiri sana, westerns wafunge misaada kabisa.

Bado Yale magoli ya mama anayoyanunua kwa milioni 5 kila 1. Yaani Siku yanga au simba wakifanikiwa kufunga goli 10 ndio watanzania wanapata hasara ya milioni 50.
Mapikipiki yalijaa nchi nzima yakimnadi mama...
Wakati mwingine unaweza kuona Bora Mobutu seseseko, kuliko hawa ccm.
 
Ni pesa zao usiwapangie matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…