Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ukiachana na kuhama kwa miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000 kwa sasa
1.CCM hupokea wanasiasa wazalendo,wachapakazi na wasio na historia kutoka CHADEMA kama kina Kafulila ,Nasari na sasa Msigwa tofauti na waliowahi hamia CDM kutoka CCM wenye kashfa mbali mbali .
2.CCM huchukua na kupokea watu kutoka CDM kuongeza nguvu kisiasa huku CDM tunaangalia zaidi maslahi .
Kuna CHADEMA watu makini kuhama ? Ukiangalia safu ya viongozi unashindwa hata kuelewa tunatumia vigezo gani waendelee au wawe viongozi ?