shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Kiukweli hiii hamahama inaleta shida sana aise kiukweli kwasasa siwezi nikajifanya kimbelembele kwa chama chochote aise.wote wachumia tumbo sio chadema wala sio sisiemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em angalia comment za watu wa Chadema khs msigwa na Lowassa kipindi kile. Huyo Lowassa angalia kipindi hajahamia Chadema na baada ya kutoka chademaSijaona tusi alilotukanwa EL wala Msigwa.
Weka hapa ushahidi wa ukisemacho.
Chadema haina mamlaka,vyeo,pesa nk huko ni shuruba tu na njaa ndiyo maisha.Wanasiasa wa sasa wa upinzani wanavutwa zaidi na maslahi yaliyoko ccm. siyo kama wale wa zamani. Sasa hivi hawana uzalendo. pili ccm inapenyeza mno pesa kuwavuruga kumbukeni kauli ya Lissu na pesa ya mama Abdul alisema tutaisha.Watu walioko chadema hawana nia ya dhati ya kulipigania na kulijenga taifa. Wanatafuta shibe tu. Shibe ikileta shida wanatimkia ccm kwenye vyeo lukuki.
Kama ambavyo Chadema walivyokuwa wanamuita Lowassa ni fisadi ila baada ya kujiunga nao akawa sio fisadi tena 😂..Ccm walikuwa wanamtukana Msigwa akiwa Cdm, leo wanamsifia kwasababu amehamia kwao.🤣🏃🏾♂️
Kama ambavyo Chadema walivyokuwa wanamuita Lowassa ni fisadi ila baada ya kujiunga nao akawa sio fisadi tena 😂
Labla anaenda kufanya mageuzi makubwa hapo mbogamboga 😂..Msigwa alikuwa anasema nchi imekwama kwasababu Ccm wana akili ndogo.
..Sasa sijui atafanya nao kazi vipi bila kudhalilika kwa kauli zake za awali.
Labla anaenda kufanya mageuzi makubwa hapo mbogamboga 😂
Karudi tena CDM?Sumaye ???
Sikulielewa swali mkuuKarudi tena CDM?
Siasa ni fursa