Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Cdm soon watampokeaa shujaa wa sukari mpinaUkiachana na kuhama kwa miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000 kwa sasa
1.CCM hupokea wanasiasa wazalendo,wachapakazi na wasio na historia kutoka CHADEMA kama kina Kafulila ,Nasari na sasa Msigwa tofauti na waliowahi hamia CDM kutoka CCM wenye kashfa mbali mbali .
2.CCM huchukua na kupokea watu kutoka CDM kuongeza nguvu kisiasa huku CDM tunaangalia zaidi maslahi .
Kuna CHADEMA watu makini kuhama ? Ukiangalia safu ya viongozi unashindwa hata kuelewa tunatumia vigezo gani waendelee au wawe viongozi ?
Pesa mwana haramumtu unaahidiwa kua mkuu wa mkoa utaacha pesa??
Sumaye ???Hivi nani alihama CDM halafu akarejea tena kama wale kina Pro Mamvi wa CCM?
Huu ndiyo ukweli sasa. Naunga mkono hoja.Watu walioko chadema hawana nis ya dhati ya kulipigania na kulijenga taifa. Wanatafuta shibe tu. Shibe kileta shida wanatimkia ccm kwenye vyeo lukuki.
Lowassa alivyokuwa ccm alitukanwa na Chadema, ila wakamsifia alivyohamia Chadema.
Msigwa alivyokuwa Chadema alisifiwa ila amehamia ccm anatukanwa
π
ππππLowassa alivyokuwa ccm alitukanwa na Chadema, ila wakamsifia alivyohamia Chadema.
Msigwa alivyokuwa Chadema alisifiwa ila amehamia ccm anatukanwa
π
Mkuu, Nothing is PermanentLowassa alivyokuwa ccm alitukanwa na Chadema, ila wakamsifia alivyohamia Chadema.
Msigwa alivyokuwa Chadema alisifiwa ila amehamia ccm anatukanwa
π
Sijaona tusi alilotukanwa EL wala Msigwa.Lowassa alivyokuwa ccm alitukanwa na Chadema, ila wakamsifia alivyohamia Chadema.
Msigwa alivyokuwa Chadema alisifiwa ila amehamia ccm anatukanwa
π