PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naona unawasahau hakina Bashungwa, yule mama aliyekuwa Waziri wa Ulinzi nanJeshi la Kujenga Taifa.
 
Na ni Nani aliye ruhusu nyang'au kuingia nchini?
 
Zipo tetesi kuwa baadhi ya Ma-RPC na Polisiccm wanasitaafu harakaharaka kisha wakimbie nchi wakajifiche hata Jamaica au hata Libya au kokote watapowaona panawafaa
kwa hii dunia ya sasa utakimbilia nchi gani usidakwe?
 
Naona unawasahau hakina Bashungwa, yule mama aliyekuwa Waziri wa Ulinzi nanJeshi la Kujenga Taifa.
Hawa kuguswa ngumu. Aliyesema hakutakuwa na nywinywi wala nywinyinywi ni Samia mwenyewe
 
Hapa tulipofika ni ngumu tena Kwa Samia kuchomoka hakuna pa kujificha wala kufuta ushahidi..
 
Kwa hizo picha nimeipata hasira sana hadi natamani December tisa iwe kesho ili nikinukishe sawasawa hadi kumtoa huyu mzanzibari na kumpeleka ICC
Mzee malisa inasemekana kachukuliwa/ tekwa na wasio julikana aliwezaje kutoa statement zile maana haya mambo yanavyo enda unaweza sema Tupo Zimbabwe ya Mugabe.

Ukipaza saut umeingia kwenye death Raw..
 
Mzee malisa inasemekana kachukuliwa/ tekwa na wasio julikana aliwezaje kutoa statement zile maana haya mambo yanavyo enda unaweza sema Tupo Zimbabwe ya Mugabe.

Ukipaza saut umeingia kwenye death Raw..
Sasahivi tunaanza ku document watu wote wanaotekwa na kupotezwa ili kuzima upuuzi wa uchaguzi.

Yaaani tunahakikisha hakuna jiwe linalobaki juu ya jiwe lingine.
 
Wewe ICC utaishia kuisikia kwenye hizo kesi za mahakamani unazozisoma.
 
Wakifika huko nitajitolea japo mara moja kuwaletea chai,kwani nitakuwa na jambo la kutetanao.
 
Uliyoyasema ni kweli tupu na hali ya uchumi imeishaanza kuwa tete; juzi wamepandisha tozo kwenye umeme na muda si mrefu watapandisha kwenye maji!! Samia hana huruma na Nchini hii, anatangaza kuwa hali ya uchumi itakuwa ngumu at the same time nakuwa na cabinet ya watu lukuki!! Hajui kwamba kuwa na cabinet kubwa ni gharama kubwa kwa serikali omba omba kama Tanzania? Anafanya hivyo kwa kutokujua au makusudi kuwakomoa watanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…