dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hahahahakwa kupiga kelele nyuma ya Keyboards?
Wanigeria na Waghana wako kila mahali, Ujerumani ndiyo usiombe. Nchi ikiwa na uchumi mzuri tu wametia mguu. Wanachonifurahisha kwao wanajenga tena style zilezile wanazoziona Ulaya.Sasa mbona hao matapeli wa kinaijeria wapo wengi huko China mnasema.
Kwa sababu Kama kweli wanigeria wangekuwa wasumbufu wangeshapigwa BAN huko China siku nyingi unataka kusema watanzania ni wasumbufu Sana kushinda wanaijeria
...tutanyaje Sasa maana fursa za kiuchumi huku home sio rafiki sana (japo zipo)..bora tujaribu huko majuuTumekua wazalishaji wa nguvu kazi Ulaya, nguvu ambazo zingetumuika kuendeleza bara letu kufikia maendeleo wakiyofikia Ulaya.
Tatizo sio passport jamani, shida nauli. Passport yangu hadi inaanza kupauka sasa $1000 nazitoa wapi??[emoji42]
Somebody anikopeshe[emoji42]
Kungekua na ajira za kutosha vijana wasingejiingiza katika biashara hii haramu. Wengi wanaifanya kwa kukata tamaa ya maisha.
Daaaaa alafu wahitimu wengii wa chuo now day n boda bodaa mtaan aiseee ,mkuu nawezajee ss kufka uko npe mwongozo km unaelewa zaidi jinc yakufika uko mbeleeUtamtoa kiongozi mmbovu wakati kashikilia majeshi utaweza? Bila kuvuja damu hakiwezi kueleweka kabisa madaraka matamu hamna mtu atakubali aporwe keki kizembe lazma badamu bamwagike [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo hii mnafikiri CCM wataachia nchi kizembe kwa kupiga kelele nyuma ya Keyboards?Wao na watoto na familia zao ni kupokezana vijiti tu vya madaraka. Wao wanafosi kura uraiani ili waendelee kubunya[emoji28] mkileta ujuaji mnapotezwa tu nani yupo tayari kuona anapoteza maisha wakati kuna fursa za kukimbilia ulaya? Bora ukatawaze bibi ulaya kuliko kufanya kazi kwa MO dewji!
Kuwa Graduate Tanzania ni upuuzi wa hali ya juu! Bora baada ya form 4 ukabebe box unaweza kupata mfumo mzuri wa maisha ulaya kuliko kupoteza muda wa kusoma kisha uwe boda boda[emoji28]
acha waende hukohuko na wasirudi kabisa, na wewe ukitaka nenda. Itasaidia kupunguza idadi ya vibaka na uhaba wa ajira.Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko.
Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni kupata skilled workers nchini mwao. Kutokana na idadi ya watu kupungua.
Ureno walitoa nafasi za dada/kaka wa kulea watoto, kuuza supermarkets, kusafisha mahospitali. Kutokana na Covid 19 ajira za usafi ma hospitalini zimeongezeka sana Ulaya.
Tangu nchi za Afrika zipate Uhuru kutoka kwa Wakoloni, uhaba wa ajira kwa vijana umeongezeka. Nchi huru zimeshindwa kuzalisha ajira mpya baada ya wawekezaji wengi kuondoka.
Vijana wa Afrika wanasafiri safari za hatari kuvuka bahari kutafuta ajira Ulaya. Idadi ya Waafrika katika kazi zisizo na ujuzi inazidi kuongezeka na pia Waafrika wanaoishi Ulaya ni wengi na wakiwa na familia tayari.
Tumekua wazalishaji wa nguvu kazi Ulaya, nguvu ambazo zingetumuika kuendeleza bara letu kufikia maendeleo wakiyofikia Ulaya.
‘Nguvu kazi‘, sio ‘kazi’Kazi zipi?
‘Nguvu kazi‘, sio ‘kazi’
Ndani au njeNasukuma hicho kifaa nipe kaziView attachment 2086189
Hasa kwa wadada kupata pasipoti ngumu ukalale makaburini labda.Hapa kwetu passport ni Mali ya uhamiaji.wana kera Hawa watu.
Mama anakwambia kazi zipo nyingi labda za kuokota makopo na chuma chakavu.
Umafungua nchi passport unazikalia
Mswahili hayupo serious,anaacha maji ya mto yapotee baharini mchina akiyatumia kuzalisha ni kosaHatuhitaji wawekezaji Wazungu, wenye uwezo wa kuweka milioni 200 wanaweza kujikusanya 10 na kuanzisha mradi. Kinacho hitajika hapa sera nzuri za nchi, wanasheria wa kusimamia policies. Mnaweza kuajiri wengine.
nani sasa atawatoa hao viongozi wabovu, wote tukikimbilia ng'ambo..
tunapaswa kuyapigania mataifa yetu kuleta ukombozi, hata huko ulaya walikuwa na viongozi wabovu huko nyuma, ila walipambana na kuhakikisha wanajikomboa na kujijengea mifumo bora kwa vizazi vyao..
WaAfrica tunapenda mteremko, hatupendi kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo...
Ndani au nje