Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

Sasa mbona hao matapeli wa kinaijeria wapo wengi huko China mnasema.
Kwa sababu Kama kweli wanigeria wangekuwa wasumbufu wangeshapigwa BAN huko China siku nyingi unataka kusema watanzania ni wasumbufu Sana kushinda wanaijeria
Wanigeria na Waghana wako kila mahali, Ujerumani ndiyo usiombe. Nchi ikiwa na uchumi mzuri tu wametia mguu. Wanachonifurahisha kwao wanajenga tena style zilezile wanazoziona Ulaya.
 
Tumekua wazalishaji wa nguvu kazi Ulaya, nguvu ambazo zingetumuika kuendeleza bara letu kufikia maendeleo wakiyofikia Ulaya.
...tutanyaje Sasa maana fursa za kiuchumi huku home sio rafiki sana (japo zipo)..bora tujaribu huko majuu
 
ni vizuri kabla haujatoka moja kwa moja anzia nchi jirani zetu.
tatizo watz kujitoa muhanga uwa hatuwezi
Tatizo sio passport jamani, shida nauli. Passport yangu hadi inaanza kupauka sasa $1000 nazitoa wapi??[emoji42]
Somebody anikopeshe[emoji42]
 
Kungekua na ajira za kutosha vijana wasingejiingiza katika biashara hii haramu. Wengi wanaifanya kwa kukata tamaa ya maisha.

Ajira za kutosha zinatoka wapi na nani anazitengeneza..?
 
Utamtoa kiongozi mmbovu wakati kashikilia majeshi utaweza? Bila kuvuja damu hakiwezi kueleweka kabisa madaraka matamu hamna mtu atakubali aporwe keki kizembe lazma badamu bamwagike [emoji28][emoji28][emoji28]

Leo hii mnafikiri CCM wataachia nchi kizembe kwa kupiga kelele nyuma ya Keyboards?Wao na watoto na familia zao ni kupokezana vijiti tu vya madaraka. Wao wanafosi kura uraiani ili waendelee kubunya[emoji28] mkileta ujuaji mnapotezwa tu nani yupo tayari kuona anapoteza maisha wakati kuna fursa za kukimbilia ulaya? Bora ukatawaze bibi ulaya kuliko kufanya kazi kwa MO dewji!

Kuwa Graduate Tanzania ni upuuzi wa hali ya juu! Bora baada ya form 4 ukabebe box unaweza kupata mfumo mzuri wa maisha ulaya kuliko kupoteza muda wa kusoma kisha uwe boda boda[emoji28]
Daaaaa alafu wahitimu wengii wa chuo now day n boda bodaa mtaan aiseee ,mkuu nawezajee ss kufka uko npe mwongozo km unaelewa zaidi jinc yakufika uko mbelee
 
Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko.

Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni kupata skilled workers nchini mwao. Kutokana na idadi ya watu kupungua.

Ureno walitoa nafasi za dada/kaka wa kulea watoto, kuuza supermarkets, kusafisha mahospitali. Kutokana na Covid 19 ajira za usafi ma hospitalini zimeongezeka sana Ulaya.

Tangu nchi za Afrika zipate Uhuru kutoka kwa Wakoloni, uhaba wa ajira kwa vijana umeongezeka. Nchi huru zimeshindwa kuzalisha ajira mpya baada ya wawekezaji wengi kuondoka.

Vijana wa Afrika wanasafiri safari za hatari kuvuka bahari kutafuta ajira Ulaya. Idadi ya Waafrika katika kazi zisizo na ujuzi inazidi kuongezeka na pia Waafrika wanaoishi Ulaya ni wengi na wakiwa na familia tayari.

Tumekua wazalishaji wa nguvu kazi Ulaya, nguvu ambazo zingetumuika kuendeleza bara letu kufikia maendeleo wakiyofikia Ulaya.
acha waende hukohuko na wasirudi kabisa, na wewe ukitaka nenda. Itasaidia kupunguza idadi ya vibaka na uhaba wa ajira.
 
Nasukuma hicho kifaa nipe kazi
‘Nguvu kazi‘, sio ‘kazi’
rondellenmaskinnykoping-post-2021_09_21_09_06.jpg
 
True kabisa.
Waafrika ni wavivu wakiwa nyumbani.Lakini nje ni roboti hii imechangiwa mfumo wa malipo kwa masaa,huu ungetumika Afrika watu wangepiga Sana Kazi.
Kama ulaya unalipwa kwa Saa moja dola 10,20,30 yaani elf 30 au 40 kwa Saa hali afrika mtu analipwa elf 40 au 50 kwa wiki au kwa mwezi.
Kwann usitoboe kwenye kubeba boksi ukiwa na malengo
 
Jihadharini Sana na wanaowapa connection za Kazi nje uwe na uhakika usijerudisha maiti bongo,unalipwa kila kitu ukifika nje unauliwa wanachukua viungo vyako vyote wanauza wanatumia milioni 3 kugharamia ufike wao wanapata zaidi ya milioni milioni 200 tija kwenye kuuza viungo vyako.
Connection upate mtu au kampuni sahihi ya Kazi nje
 
Hatuhitaji wawekezaji Wazungu, wenye uwezo wa kuweka milioni 200 wanaweza kujikusanya 10 na kuanzisha mradi. Kinacho hitajika hapa sera nzuri za nchi, wanasheria wa kusimamia policies. Mnaweza kuajiri wengine.
Mswahili hayupo serious,anaacha maji ya mto yapotee baharini mchina akiyatumia kuzalisha ni kosa
 
nani sasa atawatoa hao viongozi wabovu, wote tukikimbilia ng'ambo..

tunapaswa kuyapigania mataifa yetu kuleta ukombozi, hata huko ulaya walikuwa na viongozi wabovu huko nyuma, ila walipambana na kuhakikisha wanajikomboa na kujijengea mifumo bora kwa vizazi vyao..

WaAfrica tunapenda mteremko, hatupendi kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo...

Tunapenda mwingine afanye kazi sisi tuje kula matunda tu. Mwingine asipofanya kazi tunalalamika.
 
Wale Waethiopia waliokwenda ukimbizini Ulaya miaka ya 80-90 wengi walipata elimu na ujuzi. Wameamua kuunganisha nguvu na wanawekeza kwao. Wamefungua viwanda vya viatu, mikanda na mikoba ya ngozi. Soko la viatu vyao liko hapa hapa Afrika na wanaajiri vijana wao viwandani.

Hatuhitaji wawekezaji wazungu tu.
 
Back
Top Bottom