Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko.

Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni kupata skilled workers nchini mwao. Kutokana na idadi ya watu kupungua.

Ureno walitoa nafasi za dada/kaka wa kulea watoto, kuuza supermarkets, kusafisha mahospitali. Kutokana na Covid 19 ajira za usafi ma hospitalini zimeongezeka sana Ulaya.

Tangu nchi za Afrika zipate Uhuru kutoka kwa Wakoloni, uhaba wa ajira kwa vijana umeongezeka. Nchi huru zimeshindwa kuzalisha ajira mpya baada ya wawekezaji wengi kuondoka.

Vijana wa Afrika wanasafiri safari za hatari kuvuka bahari kutafuta ajira Ulaya. Idadi ya Waafrika katika kazi zisizo na ujuzi inazidi kuongezeka na pia Waafrika wanaoishi Ulaya ni wengi na wakiwa na familia tayari.

Tumekua wazalishaji wa nguvu kazi Ulaya, nguvu ambazo zingetumuika kuendeleza bara letu kufikia maendeleo wakiyofikia Ulaya.

Wacha tu hili bara liishe hata lipotee, maana hawapendi wana nchi wao!

Nimepita Karume Jana ile picha mpaka Leo ipo kichwani; acha tu nguvu Kazi iende!

Maisha magumu Sana Kwa Vijana wengi, Hali imekuwa ngumu kuzidi maelezo.
 
Wenye mawazo mgando Kama wewe uwa hamkosekani.
Ila kumbuka penye RIZIKI ndo watu wanakimbilia yaani fursa Kama hizi hauwezi kuona watu wakiitana hizi ndo FURSA

Jamaa kaeleza hali halisi...kwa mtu yoyote aliyewahi kuishi Guangzhou atakueleza the same
 
Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko.

Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni kupata skilled workers nchini mwao. Kutokana na idadi ya watu kupungua.

Ureno walitoa nafasi za dada/kaka wa kulea watoto, kuuza supermarkets, kusafisha mahospitali. Kutokana na Covid 19 ajira za usafi ma hospitalini zimeongezeka sana Ulaya.

Tangu nchi za Afrika zipate Uhuru kutoka kwa Wakoloni, uhaba wa ajira kwa vijana umeongezeka. Nchi huru zimeshindwa kuzalisha ajira mpya baada ya wawekezaji wengi kuondoka.

Vijana wa Afrika wanasafiri safari za hatari kuvuka bahari kutafuta ajira Ulaya. Idadi ya Waafrika katika kazi zisizo na ujuzi inazidi kuongezeka na pia Waafrika wanaoishi Ulaya ni wengi na wakiwa na familia tayari.

Tumekua wazalishaji wa nguvu kazi Ulaya, nguvu ambazo zingetumuika kuendeleza bara letu kufikia maendeleo wakiyofikia Ulaya.
Kuna usemi usemao waafrika ni Raw material ya whites people......
Tuwasubili Whites people waje wakanushe....
 
Kwa Sheria za China zilivyo ngumu naiamini wasingekuwa wanakimbilia
Kwenda kila sehemu Kuna changamoto zake kwanini Sasa Hawa jamaa wanatubana bana hawataki tutoke.
Yaani hamu ya Safari inaishia pale uhamiaji.
Na kwanini awasemee wanigeria kuwa NI wezi na MATAPELI Ina maana wanigeria wote Huko ni matapeli?
Jamaa kaeleza hali halisi...kwa mtu yoyote aliyewahi kuishi Guangzhou atakueleza the same
 
Kwa Sheria za China zilivyo ngumu naiamini wasingekuwa wanakimbilia
Kwenda kila sehemu Kuna changamoto zake kwanini Sasa Hawa jamaa wanatubana bana hawataki tutoke.
Yaani hamu ya Safari inaishia pale uhamiaji.
Na kwanini awasemee wanigeria kuwa NI wezi na MATAPELI Ina maana wanigeria wote Huko ni matapeli?

Kwa passport za Tanzania kubaniwa na mamlaka, sina uhakika kwa nini wanafanya hivyo sasa, ingawaje zile za mwanzo za kijani walikuwa wanabana kwa kuwa zilikuwa zinafojiwa sana...

Sio wanaija wote ni matapeli bali asilimia kubwa ni wajanja wajanja na wengi wao wanaishi bila visa (visa zimepita muda) na polisi ya Guangzhou huwa kuna muda inapiga msako mmoja mkali wa apartment kwa apartment wanazozishuku...(lakini hii huwa ni hadi itokee matukio ya kihalifu)...sababu bila uwepo wa watu weusi, mji wa Guangzhou usingekuwa na pilikapilika za kibiashara
 
Kuna mizee pale uhamiaji imejaa roho mbaya na husda za kichawi,wao kutoa Passport wanaona ni kama kukupa ufunguo wa peponi
Hii nchi ilivurugwa Sana na sera mfu za ujamaa na still raia wake ni wenye mawazo duni Sana na mitazamo ya kiduanzi mno,wanawivu wa kijuha Sana badala wakupe passport bila masharti Ili ukapambane na Visa huko ubalozini wao ndio wanajifanya wajuaji Sana na wanajua Sana kuliko wenye nchi zao
Pumbaf kabisa!
 
Waturuhusu tukachangamshe AKILI.tuone wenzetu wanaishi vipi.
Kwa passport za Tanzania kubaniwa na mamlaka, sina uhakika kwa nini wanafanya hivyo sasa, ingawaje zile za mwanzo za kijani walikuwa wanabana kwa kuwa zilikuwa zinafojiwa sana...

Sio wanaija wote ni matapeli bali asilimia kubwa ni wajanja wajanja na wengi wao wanaishi bila visa (visa zimepita muda) na polisi ya Guangzhou huwa kuna muda inapiga msako mmoja mkali wa apartment kwa apartment wanazozishuku...(lakini hii huwa ni hadi itokee matukio ya kihalifu)...sababu bila uwepo wa watu weusi, mji wa Guangzhou usingekuwa na pilikapilika za kibiashara
 
nani sasa atawatoa hao viongozi wabovu, wote tukikimbilia ng'ambo..

tunapaswa kuyapigania mataifa yetu kuleta ukombozi, hata huko ulaya walikuwa na viongozi wabovu huko nyuma, ila walipambana na kuhakikisha wanajikomboa na kujijengea mifumo bora kwa vizazi vyao..

WaAfrica tunapenda mteremko, hatupendi kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo...
Ni nchi gani afrika ambayo ina afadhali kutokana na kiongozi wake?.

OUT OF YOUR.
Issue ya passport kwa Tanganyika imeonekana ni tatizo sana hasa raia anapohitaji tofauti na Zanzibar ambapo kukiwa na fulsa serikali inasaidia raia wake aende na akifika avute na wenzake wawe.

Kumekuwa na fulsa nyingi ambazo wanzazibar wanazitumia na kwenda kupambana ila watanganyika mtabaki doro!.
 
Waturuhusu tukachangamshe AKILI.tuone wenzetu wanaishi vipi.

Zamani ilikuwa rahisi mno kwa mbongo kuingia China, Hongkong au Macao, lakini biashara za madawa ya kulevya zimeharibu hiyo reputation...

Kuna raia wengine walikuwa wanakamatwa na madawa wana gamba la kijani, lakini kumbe ni raia wa nchi nyingine tu...
 
Hizi nguvu kazi zilizopo hapa hazitumiki ipasavyo, so wanaona ni bora waende kufagia vyoo huko majuu, inasikitisha sana
 
Sasa mbona hao matapeli wa kinaijeria wapo wengi huko China mnasema.
Kwa sababu Kama kweli wanigeria wangekuwa wasumbufu wangeshapigwa BAN huko China siku nyingi unataka kusema watanzania ni wasumbufu Sana kushinda wanaijeria
Zamani ilikuwa rahisi mno kwa mbongo kuingia China, Hongkong au Macao, lakini biashara za madawa ya kulevya zimeharibu hiyo reputation...

Kuna raia wengine walikuwa wanakamatwa na madawa wana gamba la kijani, lakini kumbe ni raia wa nchi nyingine tu...
 
Kwa ujinga huu wa kupenda kitonga na kujiendea endea tu, kuna hatari huko mbele asili na tamaduni za mtu mweusi zinaweza kupotea..

Tutaoa, kuoelwa na weupe kwa akili ya tamaa zetu huku wao wakiwa na damu kali na kuzaliwa shombeshombe wa rangi na nywele..
Huku kutangatanga na kuomba uraia kwa tamaa za maisha wengi tutalowea ughaibuni na kupoteza asili zetu za tutokako...

Wazungu/Weupe ni watu wa mikakati ya muda mrefu sana, tayari wanamkakati wa kuitokomeza Africa kiscience maana wanajua tunaoishi huku wote ni ng'ombe na lazima tuelekee kibra kwa mikakati yao ya kiscience..
Sasa wewe hadi muda huu, hiyo asili yako unakusaidia nini?
 
Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko.

Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni kupata skilled workers nchini mwao. Kutokana na idadi ya watu kupungua.

Ureno walitoa nafasi za dada/kaka wa kulea watoto, kuuza supermarkets, kusafisha mahospitali. Kutokana na Covid 19 ajira za usafi ma hospitalini zimeongezeka sana Ulaya.

Tangu nchi za Afrika zipate Uhuru kutoka kwa Wakoloni, uhaba wa ajira kwa vijana umeongezeka. Nchi huru zimeshindwa kuzalisha ajira mpya baada ya wawekezaji wengi kuondoka.

Vijana wa Afrika wanasafiri safari za hatari kuvuka bahari kutafuta ajira Ulaya. Idadi ya Waafrika katika kazi zisizo na ujuzi inazidi kuongezeka na pia Waafrika wanaoishi Ulaya ni wengi na wakiwa na familia tayari.

Tumekua wazalishaji wa nguvu kazi Ulaya, nguvu ambazo zingetumuika kuendeleza bara letu kufikia maendeleo wakiyofikia Ulaya.
Kwa nini usafiri safari hatari wakati ajira ziko nyingi na zinahitajika?
 
Sasa mbona hao matapeli wa kinaijeria wapo wengi huko China mnasema.
Kwa sababu Kama kweli wanigeria wangekuwa wasumbufu wangeshapigwa BAN huko China siku nyingi unataka kusema watanzania ni wasumbufu Sana kushinda wanaijeria

Sio kwamba matapeli wapo wengi, isipokuwa katika hao wachache waliopo, wanaija ndio vinara...

Wale wasumbufu wakijulikana huwa wanasukumizwa jela au wanakuwa deported with no option to return (banned)...

Wabongo walichoharibu ni kuleta upunda wa madawa ya kulevya...
 
tulichukuliwa watumwa kwasababu tulikuwa wajinga, leo hii tunajipeleka wenyewe kwa nauli zetu tukiwa tumesoma na akili timamu..

Hizo sera mbovu na viongozi wabovu tutawatoa kwa sisi kukimbilia Ulaya? Ni nguvu zetu na akili zetu ndio zinahitajika kuondoa hizo sera mbovu na viongozi wabovu ili akili na nguvu zipate nafasi ya kujenga msingi bora na njia bora kwa manufaa ya vitukuu na vilembwe..
Utamtoa kiongozi mmbovu wakati kashikilia majeshi utaweza? Bila kuvuja damu hakiwezi kueleweka kabisa madaraka matamu hamna mtu atakubali aporwe keki kizembe lazma badamu bamwagike 😅😅😅

Leo hii mnafikiri CCM wataachia nchi kizembe kwa kupiga kelele nyuma ya Keyboards?Wao na watoto na familia zao ni kupokezana vijiti tu vya madaraka. Wao wanafosi kura uraiani ili waendelee kubunya😅 mkileta ujuaji mnapotezwa tu nani yupo tayari kuona anapoteza maisha wakati kuna fursa za kukimbilia ulaya? Bora ukatawaze bibi ulaya kuliko kufanya kazi kwa MO dewji!

Kuwa Graduate Tanzania ni upuuzi wa hali ya juu! Bora baada ya form 4 ukabebe box unaweza kupata mfumo mzuri wa maisha ulaya kuliko kupoteza muda wa kusoma kisha uwe boda boda😅
 
Bado viongozi wetu Wana mawazo ya kizamani sana dunia imebadilika.
Sio kwamba matapeli wapo wengi, isipokuwa katika hao wachache waliopo, wanaija ndio vinara...

Wale wasumbufu wakijulikana huwa wanasukumizwa jela au wanakuwa deported with no option to return (banned)...

Wabongo walichoharibu ni kuleta upunda wa madawa ya kulevya...
 
Utamtoa kiongozi mmbovu wakati kashikilia majeshi utaweza? Bila kuvuja damu hakiwezi kueleweka kabisa madaraka matamu hamna mtu atakubali aporwe keki kizembe lazma badamu bamwagike 😅😅😅

Leo hii mnafikiri CCM wataachia nchi kizembe kwa kupiga kelele nyuma ya Keyboards?Wao na watoto na familia zao ni kupokezana vijiti tu vya madaraka. Wao wanafosi kura uraiani ili waendelee kubunya😅 mkileta ujuaji mnapotezwa tu nani yupo tayari kuona anapoteza maisha wakati kuna fursa za kukimbilia ulaya? Bora ukatawaze bibi ulaya kuliko kufanya kazi kwa MO dewji!

Kuwa Graduate Tanzania ni upuuzi wa hali ya juu! Bora baada ya form 4 ukabebe box unaweza kupata mfumo mzuri wa maisha ulaya kuliko kupoteza muda wa kusoma kisha uwe boda boda😅

hahahahaha, Chief kwahiyo tuendelee kuwaachia bucha hawa mafisi watafune sisi tutokomee ughaibuni...

kinachotakiwa nikuacha kukaa kwenye keyboard bali tujitoe kukomboa taifa letu na ardhi yetu ya asili ili tukae na kufaidi hapahapa...kumbuka wote hatuwezi kuzamia ughaibuni bado tutaacha ndugu zetu wakiteseka hapa...

Hata huko Ulaya karne fulani zilikuwa na viongozi wajinga, babu zao walikomaa na kufa kuhakikisha viongozi wajinga wanatoka na kushirikiana kujenga mataifa yao kwa nguvu na jasho leo hii vitukuu wanafaidi matunda na sisi tunakimbilia huko..

Tusiogope kufa leo kwa faida ya wajukuu na vilembwe, bila kufa na kuendelea kulialia wote tutakimbia na litabaki jangwa, na hao weupe + wavimba macho watajitwalia ardhi kiulaini..

Taifa linapaswa kupiganiwa ili ukombozi upatikane, kwenye kulipigania kunahitaji sacrifice na hiyo sacrifice ndio sisi..
 
Back
Top Bottom