Kuongoza nchi hasa zinazoendelea si suala dogo mkuu, Magufuli amesimama imara kipindi Cha miaka 5. Tujitahidi kumuaminiTusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .
Hakuna kupanic hapa. We uliza hoja ujibiwe kwa hoja nduguUmeshapanic mapema hivi kabla hata ya kampeni? Ahahahha, ndugu siasa si rahisi kihivyo japo unafanya vizuri kujifariji lakini kumbuka ndoto zilizopitiliza huwa ni hatari sana zisipotimia maana unaweza kufa kabla ya muda wako!
Amesimama imara kwenye nini???Kuongoza nchi hasa zinazoendelea si suala dogo mkuu, Magufuli amesimama imara kipindi Cha miaka 5. Tujitahidi kumuamini
Halafu wanatokea vidampa wachache wanasifia ujinga wa kuua sector binafsiFastjet makampuni kibao yamefunga biashara zao ajira za Wanzania wenzetu zikasitishwa kwasabu ya sela mbovu
Na Hii ndo kauli mbiu ya mwaka huu!! Hizi sera tutazihubiri vijijini, mijini, mashuleni, mitaani, uswazi na ushuani.Inabidi tuendelee kuzihubiri izi Sela za Chadema ili tuendelee kujizolea wafuasi wengi mijini na vijijini ,October 28 Lissu apate ushindi wa kishindo . Hawa wenzetu huwa hawana ilani kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM lazi ikalishwe chini hakuna namna 2020 ni LisuHalafu wanatokea vidampa wachache wanasifia ujinga wa kuua sector binafsi
Hawa wapinzani wa tz bwana wananiachaga hoi sana maana ni kama umekaa chini ya mnazi halafu unasubiri embe lidondoke ule. Siku nitakapowaona wapinzani kwamba kweli wamekua na wapo tayari kuingia ikulu ni pale watakapofanyia kazi yale yanayowazuia kuingia ikulu miaka karibia 30 sasa. Ila kwa sababu harusi imekaribia wacha tu wawe wapambe na wakamsindikize bwana harusi (CCM) lakini wakumbuke mwisho wa harusi ni bwana harusi ndiye anaondoka na mke na wala siyo wapambe au wasindikizaji.Kuna vipimo vinavyoonyesha hali ya hiyo hatari ya nguvu ya uma. So far si hatarishi kama unavyodhani japo inawezekana upepo ukabadilika, na hilo linatafutiwa ufumbuzi maana wenye mamlaka pia wanategemea uwezekano wa hilo kutokea.
Hivi kwa akili ya kawaida kabisa unaamini itakuwa kirahisi tu kukabidhi nchi kwa Lissu? Yaani majeshi, mipaka, mabomu, rasilimali za nchi n.k vyote ccm wampe lissu kwa sababu kashinda kura? Tuweke mapenzi ya chama pembeni, jibu kama binadamu mwenye utashi.
Hawana akili za ku copy sera zenye akili namna hii. Kupanga makazi na mipango mijn tu imewashinda ndo iwe kuchukua Sera za Chadema????CCM lazima wakopi Sasa ndiyo itakuwa yao
Naunga mkono hoja mia kwa mia Lisu nilazima tumuingize ikulu mwaka huu.Ccm bye byeee.........
Tundu Lissu Rais wa JMT
Ukiona kwa kushirikiana na sekta binafsi ujue automatically pesa itatokana na mchango wa sekta binafsi.Ingekuwa vyema iwekwe katika mfumo rahisi kama walivyofanya ACT itaje itafanyanya nini katika eneo fulani na ianishe pesa za utekelezaji zitapatikanaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi nyie mnaosema watanzania wameichoka CCM yan Magu, mmefanya tafiti wapiiii?? Maana watu tulio na imani na Magu tupo kibaooooo, hatumpi mtu urais kwa kumuonea huruma eti alipigwa risasi. Apa ni tunampa tema Magufuli miaka mitano, ayo mambo yenu subirini mgombea mpya 2025, na yenyewe hamtaweza maaana atawekwa mtu wa bata hamtaaamini macho yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subirini october ushindi mnono wa Magu. Mmekaa mnapiga piga makerere tuu apaNani kakwambia CCM wataongoza kwa kura mwaka huu. Watanzania wa sasa wanajielewa sana. Wanajua wanataka nini. Sio pambio za kusifu na kuabudu. Wameshagundua chanzo cha stagnation yao ni sera mbovu za CCM za kutaka serikali iwe kwenye kila kitu.
Sasa Sera mbadala na sahihi zimepatikana CCM wanaenda kupigwa vibaya mwaka huu
Bila kupenda au kutokupenda watatangaza hakuna option this time sisi ndio wenye Nchi yetu bhanaTatizo kubwa ni NEC.....hakuna namna wamtangaze mpinzani kushinda....
Wambie yan wanakurupuka tuu vyama vyao bado havijawa smart kazi kuwaza kushinda urais hahaha hawataamini hawa. Ili mchukue nchi wajenge kwanza vyama vyao kwa usmart wa hali ya juu sio mwenyekiti tu wa chama hajawahi badilika since chama kimeanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu unahubir demokrasia dadeki. Hawa wataendelea kugombania ubunge mpaka wakome. Na mwaka huu tundulisu kabaki na umwenyekiti mwenza tuuu mana hata ubunge hana walah jamanii. Mwana kulitaka mwana kulipataHawa wapinzani wa tz bwana wananiachaga hoi sana maana ni kama umekaa chini ya mnazi halafu unasubiri embe lidondoke ule. Siku nitakapowaona wapinzani kwamba kweli wamekua na wapo tayari kuingia ikulu ni pale watakapofanyia kazi yale yanayowazuia kuingia ikulu miaka karibia 30 sasa. Ila kwa sababu harusi imekaribia wacha tu wawe wapambe na wakamsindikize bwana harusi (CCM) lakini wakumbuke mwisho wa harusi ni bwana harusi ndiye anaondoka na mke na wala siyo wapambe au wasindikizaji.
Mkuu chunguza sana wanaosema hivyo wapo kama 10 hivi hapa Jf na id zao kila siku zinajulikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi nyie mnaosema watanzania wameichoka CCM yan Magu, mmefanya tafiti wapiiii?? Maana watu tulio na imani na Magu tupo kibaooooo, hatumpi mtu urais kwa kumuonea huruma eti alipigwa risasi. Apa ni tunampa tema Magufuli miaka mitano, ayo mambo yenu subirini mgombea mpya 2025, na yenyewe hamtaweza maaana atawekwa mtu wa bata hamtaaamini macho yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subirini october ushindi mnono wa Magu. Mmekaa mnapiga piga makerere tuu apa
Tunakuhakikishia CCM tunashinda vizuriiii bila hata upinzani wa kibwegeee bwegeBila kupenda au kutokupenda watatangaza hakuna option this time sisi ndio wenye Nchi yetu bhana
Olewenu tuje tusikie mnalalama habari ya tume huruNaunga mkono hoja mia kwa mia Lisu nilazima tumuingize ikulu mwaka huu.
Mtu hata kutumia akili tu hawezi eti tumpigie kura lisu walahi nakwambia bora nisipige kura, wapigaji kura ni ccm, hao chadema wachache ni kerere tuu na kura hawapigagi wanasema rais ashajulikana. Ss tutaenda kumpa rais wetu tenaaaaa hawataamini ushindi mnono atakaopata.Mkuu chunguza sana wanaosema hivyo wapo kama 10 hivi hapa Jf na id zao kila siku zinajulikana