Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA.

Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum

20250312_171810.jpg
20250312_171556.jpg
20250312_171807.jpg
20250312_171803.jpg


kila la Kheri CHADEMA

Allah azidi kuwaongoza!
 
CCM tatizo ni polisi na usalama na umbumbu wa watz. Ingekuwa nchi amabyo wananchi wanajitambua kitambo tu
 
Nauliza.

Kwanini wapiga picha wetu huwa wanatumia filters za kuwaonyesha viongozi wetu kuwa ni weupe wa rangi za ngozi??

Hebu mwangalieni Mh. Lissu hapo juu. Kama hajapiga mkorogo hapo, basi filter ndio iliotumika aonekane hivo, Kwanini
 
Back
Top Bottom