Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

Magufuli aliwaambia ubunge wa vti maalum uwe na ukomo hadi ikapelekea Ummy kwenda kugombea pamoja na Kairuki ambae lifeline.Ukwel ni kwamba brain za nchi hii zina uhusiano na CCM in one way or another. Brains zinatumika na watawala sio wapinzani
 
Basi tuko wengi sana. Mwanzoni mimi Magufuli nilikuwa namshangilia kwa nguvu zote. Jaribio la Lissu ndiyo lilianza kuniyumbisha.
Alikuwa mkatili sana yule. Na ndo amekuza sana uchawa na kuharibu mifumo ambayo ndo tuliyokuwa tunaitegemea.

Kama kuna mtu alitufundisha kuwa ni muhimu Tanzania kuwa na Katiba Mpya ni yule jamaa.
 
Naona effect ya Lisu imewakumba hadi nyie wanawake wa ccm wa viti maalum. Sasa hamuwezi kufia tena kwenye ubunge wa viti maalum. Itabidi uolewe na Mdee tu sasa.
Wewe jamaa umechanganyikiwa!! Pole sana 😂😂😂😂😂
 
Magufuli aliwaambia ubunge wa vti maalum uwe na ukomo hadi ikapelekea Ummy kwenda kugombea pamoja na Kairuki ambae lifeline.Ukwel ni kwamba brain za nchi hii zina uhusiano na CCM in one way or another. Brains zinatumika na watawala sio wapinzani
CCM walishaachanaga na suala la kutumia akili. Pale sasa ni kikundi cha Wahuni tu
 
Anaweza kuwa alialikwa kutoa utaalam wake. Huyu jamaa yuko vizuri sana ni kwa sababu tu Tanzania watu wa maana hawathaminiwi. Huyu alitakiwa awe waziri kwenye mambo ya fedha, uchumi etc...
Ukishashika nafasi ya CAG huwezi kushika tena cheo chochote ndani ya serikali. Nakubaliana nawewe jamaa ni brain sana! Nimewahi kuwa mjumbe wa baraza la chuo cha MUM pale morogoro jamaa alileta mabadiliko makubwa sana pale!! Nimefanya naye kazi UDSM pia…. Nakiri jamaa ni mwanamajumui hasa! Bahati mbaya Magufuli aliyejiita mtu safi hakupenda uwazi akachagua kiza!!

Prof Assad ni mtu na nusu!
 
Chadema kinapasua anga na nimesikia huko ACTwazalendo nako wameweka wazi kuwa NO REFORMS NO ELECTION panazidi kuwa patamu.
 
😁😁😁😂😂😂 wamewahiwa kwasababu ukikaribia uchaguzi ndio propaganda zao mboga mboga fc.
Yaaani kama kuna kipindi ambacho CCM wamekosa propaganda ya kusimamia dhidi ya CHADEMA ni kipindi hiki.

Propaganda za Chama cha Wachaga na Chama cha Familia zimekufa kwa mbowe kupigwa chini kwa uchaguzi pekee huru na haki uliowahi kufanyika nchini na kushuhudiwa na watanzania woteee😂
 
Mkuu kumbe wewe ni CCM ''vitu'' maalum? 😳😳
Hahahaha hawa watoto wanatumia kila namna kujaribu ku provoke watu…. Mara waseme sijui Joyce Mukya… Mara viti maalumu Mara muuza unga wa Mbowe na mengine mengi!! Mi huwa nawachukulia vile walivyo maana mtu mkomavu wa akili mnaweza tofautiana kifikra na msivunjiane heshima au kutukanana!
 
S
Ukishashika nafasi ya CAG huwezi kushika tena cheo chochote ndani ya serikali. Nakubaliana nawewe jamaa ni brain sana! Nimewahi kuwa mjumbe wa baraza la chuo cha MUM pale morogoro jamaa alileta mabadiliko makubwa sana pale!! Nimefanya naye kazi UDSM pia…. Nakiri jamaa ni mwanamajumui hasa! Bahati mbaya Magufuli aliyejiita mtu safi hakupenda uwazi akachagua kiza!!

Prof Assad ni mtu na nusu!
Sio Magufuli tu. CCM ukiwa na akili na ukiwaambia ukweli na kusimamia utaalam tu lazima uwe adui yao.
 
Chadema kinapasua anga na nimesikia huko ACTwazalendo nako wameweka wazi kuwa NO REFORMS NO ELECTION panazidi kuwa patamu.
Zitto si mtu wa kumuamini sana hasa utawala unapokua chini ya muislamu!! Hao wanaozungumza hayo ni flower girls tu kwa Zitto!!
 
K
Wewe kama sio Lissu mwenyewe basi ni wazi una dalili zote za kuugua kichaa hivi karibuni.
20250223_162944.jpg

Wanayoyaweza ccm nikutumia vyombo vya dola ndio kwenye hoja zao.
 
Back
Top Bottom