Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

Anaweza kuwa alialikwa kutoa utaalam wake. Huyu jamaa yuko vizuri sana ni kwa sababu tu Tanzania watu wa maana hawathaminiwi. Huyu alitakiwa awe waziri kwenye mambo ya fedha, uchumi etc...
Ukitaka kujua CCM hawawezi kuifikisha hii nchi katika maendeleo ya kweli, ni namna alivyofanyiwa mtu mwenye akili iliyo nyooka huyu mzee Prof. Assad.
 
Nauliza.

Kwanini wapiga picha wetu huwa wanatumia filters za kuwaonyesha viongozi wetu kuwa ni weupe wa rangi za ngozi??

Hebu mwangalieni Mh. Lissu hapo juu. Kama hajapiga mkorogo hapo, basi filter ndio iliotumika aonekane hivo, Kwanini
Hii inahusiana nini na ujumbe wa Taarifa?
 
Ukitaka kujua CCM hawawezi kuifikisha hii nchi katika maendeleo ya kweli, ni namna alivyofanyiwa mtu mwenye akili iliyo nyooka huyu mzee Prof. Assad.
Kabisa. Halafu aliyemfanyia hivyo ni kilaza wa kutupwa. Nchi imeshikwa na vilaza-wahuni na kuiachia kwa urahisi itakuwa ngumu sana. Unakuta Makonda anapewa shavu kuliko watu wa maana kama huyu prof.
 
Tanzania ilipofika ni ya kuisikitikia tu. Machawa na Wapuuzi kama Makonda, Mwijaku,Doto Magali na wajinga wengine ndo wanapewa nafasi alafu vichwa vilivyonyooka kama Prof. Assad vinawekwa pembeni.
 
Hii inahusiana nini na ujumbe wa Taarifa?
Sayansi.

Mada inasema CHADEMA yetu inaendeshwa kisayansi. Nimeingia kuona ni sayansi ipi hio.

Cha kwanza kuona ni picha. Picha ya Mh. LISSU akiwa mweupe peee, nikajiuliza hii ni sayansi?

Uhusiano upo hapo.
 
Kabisa. Halafu aliyemfanyia hivyo ni kilaza wa kutupwa. Nchi imeshikwa na vilaza-wahuni na kuiachia kwa urahisi itakuwa ngumu sana. Unakuta Makonda anapewa shavu kuliko watu wa maana kama huyu prof.
Kati ya mambo yaliyonifanya niache kum support Magufuli ni Jaribio la Mauaji ya Lissu na kumuondoa huyu jamaa kwenye cheo cha CAG kinyume na Katiba.
 
Basi tuko wengi sana. Mwanzoni mimi Magufuli nilikuwa namshangilia kwa nguvu zote. Jaribio la Lissu ndiyo lilianza kuniyumbisha.
 
Back
Top Bottom