Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

Sayansi.

Mada inasema CHADEMA yetu inaendeshwa kisayansi. Nimeingia kuona ni sayansi ipi hio.

Cha kwanza kuona ni picha. Picha ya Mh. LISSU akiwa mweupe peee, nikajiuliza hii ni sayansi?

Uhusiano upo hapo.
sayansi mpaka uone kemikali na vilipuzi ukumbini,kweli ccm mna akili mgando mnahitaji elimu ya amali
 
Kwahio before walishindwa wenyewe au Dola iliamua vinginevyo ? Yaani kilichowasibu before sasa hivi kimekuwa rectified ?!!!
 
Strategy yenu ya kuchonganisha vyama vya upinzani.
Hawawazi maarifa ya kufanya Tanzania kuwa nchi yenye maendeleo ya uhakika, wanachowaza ni kuvifarakanisha tu vyama vya upinzani makini ili waendelee kuliibia Taifa
 
DJ alituchelewesha sana na ushamba na ukabila wake.
 
sayansi mpaka uone kemikali na vilipuzi ukumbini,kweli ccm mna akili mgando mnahitaji elimu ya amali
HA ha.

Sasa kwenye Sayansi za siasa huwa kuna kemikali na vilipuzi vipi?

Utambue pia mi ni CHADEMA.
###
Hujasema bado. Kwamba, mgando ni huo wakwako wa kutoelewa.
 
Back
Top Bottom