Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

CCM tatizo ni polisi na usalama na umbumbu wa watz. Ingekuwa nchi amabyo wananchi wanajitambua kitambo tu
 
Nauliza.

Kwanini wapiga picha wetu huwa wanatumia filters za kuwaonyesha viongozi wetu kuwa ni weupe wa rangi za ngozi??

Hebu mwangalieni Mh. Lissu hapo juu. Kama hajapiga mkorogo hapo, basi filter ndio iliotumika aonekane hivo, Kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…