macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Anaweza kuwa alialikwa kutoa utaalam wake. Huyu jamaa yuko vizuri sana ni kwa sababu tu Tanzania watu wa maana hawathaminiwi. Huyu alitakiwa awe waziri kwenye mambo ya fedha, uchumi etc...Asad nae Kama nani ndani ya CHADEMA
Taratibu, watafunguka tu!Akili gani? hawa watu ni wasomi ila wameamua tu kusikiliza njaaa za tumboni mwao
HahahahCHADEMA is a jet engine while CCM is 2NZ VVTI engine
Siku wakiamua kutanguliza uzalendo ndo nchi itakuwa kwenye mikono salamaTaratibu, watafunguka tu!
Ukitaka kujua CCM hawawezi kuifikisha hii nchi katika maendeleo ya kweli, ni namna alivyofanyiwa mtu mwenye akili iliyo nyooka huyu mzee Prof. Assad.Anaweza kuwa alialikwa kutoa utaalam wake. Huyu jamaa yuko vizuri sana ni kwa sababu tu Tanzania watu wa maana hawathaminiwi. Huyu alitakiwa awe waziri kwenye mambo ya fedha, uchumi etc...
WAHUNI WAMEKUTANA KUONGEA YA KIHUNI AISEEE SHIDA BADO MNAYO CHADOMOOOKwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA.
Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum
View attachment 3267901View attachment 3267902View attachment 3267903View attachment 3267904
kila la Kheri CHADEMA
Allah azidi kuwaongoza!
Huyo ni guest speaker. Si unaona Lissu Leo hata chupa ya maji hana na kanzu juu? 😄😄Asad nae Kama nani ndani ya CHADEMA
Hii inahusiana nini na ujumbe wa Taarifa?Nauliza.
Kwanini wapiga picha wetu huwa wanatumia filters za kuwaonyesha viongozi wetu kuwa ni weupe wa rangi za ngozi??
Hebu mwangalieni Mh. Lissu hapo juu. Kama hajapiga mkorogo hapo, basi filter ndio iliotumika aonekane hivo, Kwanini
Kama hao ni wahuni basi CCM ni wendawazimu kabisaaa!WAHUNI WAMEKUTANA KUONGEA YA KIHUNI AISEEE SHIDA BADO MNAYO CHADOMOOO
Nimeona na wao wanazungumzia Ukomo wa Madaraka kwa Mbunge na Viti Maalum vile vya kuvuana.......CCM wanacheza ngoma inayopigwa na Chadema.
Tena majiziKama hao ni wahuni basi CCM ni wendawazimu kabisaaa!
Kabisa. Halafu aliyemfanyia hivyo ni kilaza wa kutupwa. Nchi imeshikwa na vilaza-wahuni na kuiachia kwa urahisi itakuwa ngumu sana. Unakuta Makonda anapewa shavu kuliko watu wa maana kama huyu prof.Ukitaka kujua CCM hawawezi kuifikisha hii nchi katika maendeleo ya kweli, ni namna alivyofanyiwa mtu mwenye akili iliyo nyooka huyu mzee Prof. Assad.
Tanzania ilipofika ni ya kuisikitikia tu. Machawa na Wapuuzi kama Makonda, Mwijaku,Doto Magali na wajinga wengine ndo wanapewa nafasi alafu vichwa vilivyonyooka kama Prof. Assad vinawekwa pembeni.Kabisa. Halafu aliyemfanyia hivyo ni kilaza wa kutupwa. Nchi imeshikwa na vilaza-wahuni na kuiachia kwa urahisi itakuwa ngumu sana. Unakuta Makonda anapewa shavu kuliko watu wa maana kama huyu prof.
Mtu huru aliyeamua kutumia elimu yake kwa faida ya wote.Asad nae Kama nani ndani ya CHADEMA
Naona effect ya Lisu imewakumba hadi nyie wanawake wa ccm wa viti maalum. Sasa hamuwezi kufia tena kwenye ubunge wa viti maalum. Itabidi uolewe na Mdee tu sasa.Wewe kama sio Lissu mwenyewe basi ni wazi una dalili zote za kuugua kichaa hivi karibuni.
Sayansi.Hii inahusiana nini na ujumbe wa Taarifa?
Sahizi hizo ishu za ukabila zimekufa, wanatafuta pa kupenyeaDadeeki oogh CHADEMA imeishiwa oogh CHADEMA chama cha wakristo, oogh CHADEMA cha wachaga, nyokolilooo wameufyata....
Kati ya mambo yaliyonifanya niache kum support Magufuli ni Jaribio la Mauaji ya Lissu na kumuondoa huyu jamaa kwenye cheo cha CAG kinyume na Katiba.Kabisa. Halafu aliyemfanyia hivyo ni kilaza wa kutupwa. Nchi imeshikwa na vilaza-wahuni na kuiachia kwa urahisi itakuwa ngumu sana. Unakuta Makonda anapewa shavu kuliko watu wa maana kama huyu prof.
Basi tuko wengi sana. Mwanzoni mimi Magufuli nilikuwa namshangilia kwa nguvu zote. Jaribio la Lissu ndiyo lilianza kuniyumbisha.Kati ya mambo yaliyonifanya niache kum support Magufuli ni Jaribio la Mauaji ya Lissu na kumuondoa huyu jamaa kwenye cheo cha CAG kinyume na Katiba.