didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Alikuwa mkatili sana yule. Na ndo amekuza sana uchawa na kuharibu mifumo ambayo ndo tuliyokuwa tunaitegemea.Basi tuko wengi sana. Mwanzoni mimi Magufuli nilikuwa namshangilia kwa nguvu zote. Jaribio la Lissu ndiyo lilianza kuniyumbisha.
Wewe jamaa umechanganyikiwa!! Pole sana 😂😂😂😂😂Naona effect ya Lisu imewakumba hadi nyie wanawake wa ccm wa viti maalum. Sasa hamuwezi kufia tena kwenye ubunge wa viti maalum. Itabidi uolewe na Mdee tu sasa.
CCM walishaachanaga na suala la kutumia akili. Pale sasa ni kikundi cha Wahuni tuMagufuli aliwaambia ubunge wa vti maalum uwe na ukomo hadi ikapelekea Ummy kwenda kugombea pamoja na Kairuki ambae lifeline.Ukwel ni kwamba brain za nchi hii zina uhusiano na CCM in one way or another. Brains zinatumika na watawala sio wapinzani
😁😁😁😂😂😂 wamewahiwa kwasababu ukikaribia uchaguzi ndio propaganda zao mboga mboga fc.Dadeeki oogh CHADEMA imeishiwa oogh CHADEMA chama cha wakristo, oogh CHADEMA cha wachaga, nyokolilooo wameufyata....
Mkuu kumbe wewe ni CCM ''vitu'' maalum? 😳😳Wewe jamaa umechanganyikiwa!! Pole sana 😂😂😂😂😂
Ukishashika nafasi ya CAG huwezi kushika tena cheo chochote ndani ya serikali. Nakubaliana nawewe jamaa ni brain sana! Nimewahi kuwa mjumbe wa baraza la chuo cha MUM pale morogoro jamaa alileta mabadiliko makubwa sana pale!! Nimefanya naye kazi UDSM pia…. Nakiri jamaa ni mwanamajumui hasa! Bahati mbaya Magufuli aliyejiita mtu safi hakupenda uwazi akachagua kiza!!Anaweza kuwa alialikwa kutoa utaalam wake. Huyu jamaa yuko vizuri sana ni kwa sababu tu Tanzania watu wa maana hawathaminiwi. Huyu alitakiwa awe waziri kwenye mambo ya fedha, uchumi etc...
Yaaani kama kuna kipindi ambacho CCM wamekosa propaganda ya kusimamia dhidi ya CHADEMA ni kipindi hiki.😁😁😁😂😂😂 wamewahiwa kwasababu ukikaribia uchaguzi ndio propaganda zao mboga mboga fc.
Hahahaha hawa watoto wanatumia kila namna kujaribu ku provoke watu…. Mara waseme sijui Joyce Mukya… Mara viti maalumu Mara muuza unga wa Mbowe na mengine mengi!! Mi huwa nawachukulia vile walivyo maana mtu mkomavu wa akili mnaweza tofautiana kifikra na msivunjiane heshima au kutukanana!Mkuu kumbe wewe ni CCM ''vitu'' maalum? 😳😳
Sio Magufuli tu. CCM ukiwa na akili na ukiwaambia ukweli na kusimamia utaalam tu lazima uwe adui yao.Ukishashika nafasi ya CAG huwezi kushika tena cheo chochote ndani ya serikali. Nakubaliana nawewe jamaa ni brain sana! Nimewahi kuwa mjumbe wa baraza la chuo cha MUM pale morogoro jamaa alileta mabadiliko makubwa sana pale!! Nimefanya naye kazi UDSM pia…. Nakiri jamaa ni mwanamajumui hasa! Bahati mbaya Magufuli aliyejiita mtu safi hakupenda uwazi akachagua kiza!!
Prof Assad ni mtu na nusu!
Consultation hiyo, ameitwa kutoa lecture juu ya masuala ya uongozi.Asad nae Kama nani ndani ya CHADEMA
Zitto si mtu wa kumuamini sana hasa utawala unapokua chini ya muislamu!! Hao wanaozungumza hayo ni flower girls tu kwa Zitto!!Chadema kinapasua anga na nimesikia huko ACTwazalendo nako wameweka wazi kuwa NO REFORMS NO ELECTION panazidi kuwa patamu.
Zitto keshastaafu kitambo.Zitto si mtu wa kumuamini sana hasa utawala unapokua chini ya muislamu!! Hao wanaozungumza hayo ni flower girls tu kwa Zitto!!
Pole sana.Zitto keshastaafu zamani.
Munapenda Devide and concur sasa hivi ulaghai wa Mama umeshtukiwa😁😆Pole sana.
Wewe kama sio Lissu mwenyewe basi ni wazi una dalili zote za kuugua kichaa hivi karibuni.
Nafikiri ni mwezeshaji wa mada fulani hapo!Asad nae Kama nani ndani ya CHADEMA
Wale chawa wa Sultan Mbowe wanaumia sana yaani wana ushetani mwingi kuliko hata maccmKuna watu wanaumia sana sana
You nailed it. Tumborism mbele ila sio kwamba hawana akili ila tumbo limezidi ubongoCCM walishaachanaga na suala la kutumia akili. Pale sasa ni kikundi cha Wahuni tu