LavrovBoss huyu mbona km kiongozi moja wa russian
Endelea kijifariji. Wazee wenye hela wanang'ata pisi kali nyie mahandsome mnakula mademu wa vijijini (hasa beki tatu) wasiojua hata kuoga.Uongo, mvuto namba 1 wa mwanaume sio mafanikio yake, bali muonekano wake, mvuto namba 2 ambao nauita (mvuto feki) wa mwanaume ni pesa zake/mafanikio leo dada
Wanaruhusiwa kupiga sigara eeLavrov
Auponze mara ngapi mbona mnatatetea sna hya mapilipili hohoUtauponza
ππππNaomba jicho mkuu niliwahi kabla wahuni hawajalichakaza.
Hawezi kukuelewa kamwe. LolUnateseka sana Mpaka pale utakapojua u handsome wa mwanaume ni pesa yake na mvuto wake ni mafanikio yake!!!!
ππππ nimecheka kifala sana. LolKama una muonekano unaousema maana ninaona kama ni thread changamsha genge Ila kama upo serious.
Hiyo attention unayoitaka utaipata kwenye modelling, customer service, video vixen, ushering, receptionist, Tv Presenter, brand ambassador etc
Ukijiongeza ukawa vizuri kichwani,
Kuna kazi za PR and communications au kuwa spokeperson wa kampuni etc..
Kulipobakia, ukifungua mdomo wakaona ni empty set ni ngumu kutoboa
Ila watu, khaaah ππππInterview ya kutafuta shoga mkali mtaani kwenu
Pili pili hoho tena? Kumekuchaaaa.Auponze mara ngapi mbona mnatatetea sna hya mapilipili hoho
Kama una muonekano unaousema maana ninaona kama ni thread changamsha genge Ila kama upo serious.