babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Twin angu, anawaambia nyie wazee wa JF kuwa yeye ni pisi kali, afu mna kausha tyuuh, sio vizuri hivyo, changamkia fursa na bado meno ipo.Huyu ndo kasema kamzidi uzuri dada yakeπ?
Cocastic kuna pacha wako huku
Unajikuta nani kwa mfano? Huna jipyaππππWatu wanasema nimemzidi dada angu kwa uzuri
Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri. Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.www.jamiiforums.com
Huyu huko hata hayupo πππ
Dogo unajilegeza hadi aibu yaaniUzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
Jamaaa,hivi uko serious unatutambiaa uzuri wako we mvulana?maana nazani bado ujafikia uwanaume...unashindana na dada zako.innalilaaaah wainalilaaah rajuan.....Uongo, mvuto namba 1 wa mwanaume sio mafanikio yake, bali muonekano wake, mvuto namba 2 ambao nauita (mvuto feki) wa mwanaume ni pesa zake/mafanikio leo dada
Mkuu mbona hujanijibu ombi langu la kunipa jicho.Hakuna uhusiano wa hizi ID mbili acheni ujinga
Unajikuta nani kwa mfano? Huna jipyaππππ
Kuna watu wana allergy na perfume kali watakutoa kwenye interview ndani ya sekunde tu sababu zitawafanya kupiga chafya nkUzuri huwa unabeba sana, watu yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
ππππKuna watu wana allergy na perfume kali watakutoa ndani ya sekunde tu sababu zitawafanya kupiga chafya nk
Na kazi sahau
R.I.P mr handsomeUzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
Nimejaribu kuwa positive kwenye huu uzi wako ila hivi vidole kwenye emoj yako vinatia mashaka makubwa.Unajikuta nani kwa mfano? Huna jipyaππππ
Mwanaume unawazaje muonekano wako 24/7 na unafurahia kuitwa mzuri kuliko dada ako ππΎWatu wanasema nimemzidi dada angu kwa uzuri
Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri. Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.www.jamiiforums.com
Huyu huko hata hayupo πππ
Hapa hakuna mwanaume mkuu, bahati mbaya sana kwa familia yake.Nimejaribu kuwa positive kwenye huu uzi wako ila hivi vidole kwenye emoj yako vinatia mashaka makubwa.