Mashaka yapi? 😂😂😂😂Nimejaribu kuwa positive kwenye huu uzi wako ila hivi vidole kwenye emoj yako vinatia mashaka makubwa.
Hivyo vidole vya kwenye hiyo emoj vimekaa kwa dizaini yake asee😁 huyu kwel ni handsome aseeMashaka yapi? 😂😂😂😂
Tumwache tu mkuu, kwa sababu makalio ni yake ,atajua mwenyewe bwashee.Hapa hakuna mwanaume mkuu, bahati mbaya sana kwa familia yake.
😂😂😂😂 unawaza nn? LolHivyo vidole vya kwenye hiyo emoj vimekaa kwa dizaini yake asee😁 huyu kwel ni handsome asee
Siwazi kitu hata , nimeamua nichangie tu , karibu bia hapa😁😂😂😂😂 unawaza nn? Lol
Mbona sijaona lips nzuri, hata fidodido hamfikii hata.
Wee muongo kuna kitu umewazaa, sasa hiyo bia napataje? Em tuma ki namna inayowezekana. LolSiwazi kitu hata , nimeamua nichangie tu , karibu bia hapa😁
Hao ndio wanasababisha wanaume mwenye rangi hizo waonekane wote ni viazi🚮
Bia inyweke hapa iishe , kinamna itabadilishiwa matumizi , kitu ambacho kwa sisi walevi ni haramu.Wee muongo kuna kitu umewazaa, sasa hiyo bia napataje? Em tuma ki namna inayowezekana. Lol
😂😂😂😂
Haibadiliki matumizi, na ushahidi utakuwepo.Bia inyweke hapa iishe , kinamna itabadilishiwa matumizi , kitu ambacho kwa sisi walevi ni haramu.
Mhm hapa ngaramtoni kwa hapo dar ukishika Bm ni chapu tuHaibadiliki matumizi, na ushahidi utakuwepo.
Sasa mie hapo mamtoni nafikaje sahivi? Hata kwa air luparu haiwezekani.
Em fanikisha ki namna bhana, Lol
Thubutuuu!! Vibaya hivyoo. LolMhm hapa ngaramtoni kwa hapo dar ukishika Bm ni chapu tu
KAbisa yani vidole vya msutano hivo dah.....Nimejaribu kuwa positive kwenye huu uzi wako ila hivi vidole kwenye emoj yako vinatia mashaka makubwa.
Hapa tayari nishaanza kusikia harufu ya Murphy (Mafi)Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.