Kwa kauli hii ya IGP Wambura, Lissu na wengine nawashauri futa wazo la kurudi nchini

Nadhani alipaswa kuwa na muda kujiandaa maneno ya kusema, ukimfuatilia unaona kama alikuwa anatafuta maneno ya kuongea kutokana na hicho cheo kipya ila kwa sababu ni ijp ndo imetoka hiyo no retreat to correct it πŸ€“.


Huyo wa pembeni hapo ndiye alipaswa kuwa IJP kwa mkunjo huo wa mdomo aaah!.
 
Sio kazi ngumu sana kutambua mtu mwenye dhamira ya moyo wake katika jambo analoliamini.

Nikiangalia katika viongozi wote walioko CCM kwa sasa hivi, simwoni hata mmoja kati yao mwenye dhamira ya moyo wake kwa nchi yetu hii na wananchi wake. Ninaowaona huko sasa hivi ni wenye dhamira ya kujinufaisha wao kwanza kwa kila fursa wanayoweza kuipata kutokqna na nafasi walizonazo kwenye uongozi.

Kwenye watu walio nje, namwona Lissu kuwa ni mtu mwenye dhamira isiyotetereka katika anayoyaamini. Sioni kamwe, kwamba kutorejea kwake nchini ni kwa sababu ya kukosa dhamira hiyo, au kwa kuogopa matokeo ya yatakayomkuta.

Sina shaka, kwa kutorudi kwake nchini kutakuwa na sababu maalum. Hata unapokuwa na dhamira na jambo, huwezi kuacha kutumia akili ili mipango yako ya kutimiza unayodhamiria yapate ufanisi.

Nimalize kwa kusema kuwa, nchi hii inao wengi tu wenye dhamira juu ya maslahi ya waTanzania kuwa mbele zaidi ya mengine yote.
 
Hakika mkuu ulichosema Ila nimependa zaidi ulichosema hapo mwisho na hicho ndicho kimebeba zaidi ujumbe wangu wote kwa WATANZANIA na ujumbe wako wote kwa WATANZANIA . na nukuu β€œ Nchi hii inao wengi tu wenye dhamira juu ya maslahi ya WATANZANIA kuwa mbele zaidi ya mengine yote”.

- Hakika Tanzania Ina dhamira ya kupiganiwa na WATANZANIA walio wengi waliobeba dhamira sahii na hai mioyoni mwao na sio kuwaachia jukumu la kuipigania watu walio wachache waliobeba dhamira.
 
Binafsi naamini haya yanayotokea sasa ni maandalizi yatakayoleta mabadiliko chanya kwa nchi yetu.
 
Binafsi naamini haya yanayotokea sasa ni maandalizi yatakayoleta mabadiliko chanya kwa nchi yetu.
Sahihi kabisa mkuu ni Kama watawala wanalitengeneza bomu wao wenyewe litakalo kuja kuwalipukia.
 
Jamaa ni kilaza kuliko siro
 
Hili liliua wachina kwa mamilioni!
Ndio hivyo mkuu revulution yoyote ile ya kiuongozi/kiutawala Ina positive impact na Ina negative impact jambo la muhimu na la faida ni kuwa political revolution siku zote huleta positive change within the country . Licha ya kuwa China , France, America, Iran, Russia etc political revulution zao ziligharimu maisha ya watu Ila leo hii . hii America, France, Russia, China, Iran tunazoziona Ni kutokana na watu kujitoa kafara kwa ajili ya wajukuu zao wafurahie mema ya nchi zao.
 
The author is suffering from the effects of the cannabis sativa and that's why he has posted this rubbish.

He gives an impression that this country only belongs to ccm and its puppets like him. We shall never be in the same school of thought as his.
 
The author is suffering from the effects of the cannabis sativa and that's why he has posted this rubbish.

He gives an impression that this country only belongs to ccm and its puppets like him. We shall never be in the same school of thought as his.
sijakuelewa context ya jibu lako....
 
Jamaa wanarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…