Kwa kauli hii ya IGP Wambura, Lissu na wengine nawashauri futa wazo la kurudi nchini

Kwa kauli hii ya IGP Wambura, Lissu na wengine nawashauri futa wazo la kurudi nchini

"Nakuchagua ile ukatulinde sisi viongozi tuishi vizuri"

"Kabla hajachaguliwa kuwa IGP aliona viongozi wasumbuliwa na wanaishi kwa wasiwasi".

Tukumbuke pia kingai ndiyo DCI sasa ngoja niendelee na mbege yangu hapa.
 
Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga.

Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini!

View attachment 2298752
Video ya alichokisema IGP Wambura​
You're better than this, acha upotoshaji kwa wasiokuwa na bundle la kuangalia hiyo video clip, usimlishe maneno IGP.
 
"Nakuchagua ile ukatulinde sisi viongozi tuishi vizuri"

"Kabla hajachaguliwa kuwa IGP aliona viongozi wasumbuliwa na wanaishi kwa wasiwasi".

Tukumbuke pia kingai ndiyo DCI sasa ngoja niendelee na mbege yangu hapa.
Umesikiliza video clip au ndio oyaoya fuata mkumbo?
 
Lissu kishazoea bure, anakula na kulala bure hawezi kurudi. Ila ni aibu sana, basi tu
 
Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga.

Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini!

View attachment 2298752
Video ya alichokisema IGP Wambura​
IGP ni Mtu mdogo kwenye Suala la Lissu na Lema ataagizwa awalinde
 
You can not PRESERVE LIFE when you fight injustices.

A life must be taken to have justice.

Acha UMAMA, pambana.
Muulize mama yako kama nina umama! Huwa sitaki matusi, jibu hoja, ukitukana utatukanwa
 
Lissu kishazoea bure, anakula na kulala bure hawezi kurudi. Ila ni aibu sana, basi tu

Kama ni rahisi kula bure na kulala Bure, na ww au ndugu zako wenye shida nendeni ulaya mkale na kulala Bure. Lisu alikuwa anaishi hapa nchini na kufanya kazi zake kihalali, kabla ya kushambuliwa kwa maagizo ya dhalimu ili apoteze maisha. Sasa angojee nini kwenye nchi ya viongozi mumiani?
 
Njia sahihi pekee ya kuwamaliza majambazi ni kutumia bunduki, bunduki ndio solution ya kuwaondoa wapumbavu kwenye Jamii.
 
Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga.

Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini!

View attachment 2298752
Video ya alichokisema IGP Wambura​

Huyu anapaswa ajue cheo alichopewa na sawa na mtu aliyepanda daladala, akifika kwenye kituo chake atashuka, hivyo kuna siku atatoka tu kwenye hiyo nafasi
 
sijakuelewa context ya jibu lako....
Ana'practice' ung'eng'e wake mpya. Haijalishi kitu hata kama anachowasilisha hakileti maana yoyote.

Watu wanasema hii lugha imekuwa tatizo kwa waTanzania, kwa hiyo ukiona mtu anajitutumua kuitumia, hata kama anachokieleza hakileti maana yoyote, ni heri ya kumpa sifa yake kwa jitihada anayoifanya kuhusu lugha hiyo.

Ninaamini, taratibu, akendelea kuweka juhudi, lugha itanyooka tu.

Sasa baada ya hapo, tatizo litakuwa ni elimu na ujuvi wa mambo atakayokuwa akiyazungumzia akitumia lugha hiyo.

Hapo ndipo ninapoona tatizo lake kuu lilipo.
 
Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga.

Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini!

View attachment 2298752
Video ya alichokisema IGP Wambura​
Chadomo ni kulalamika tuu kama mtoto yatima..

Tii sheria bila shuruti na fuata taratibu zijazotakiwa..

Lisu ameambiwa mara kadhaa arudi ila kwa kuwa kaolewa huko anafurahia maisha asiichafue Nchi Kwa kisingizio cha ukimbizi.
 
Back
Top Bottom